Best score
Member
- Aug 19, 2020
- 6
- 4
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 ni muhitimu wa stashahada ya LABOUR RELATION AND PUBLIC MANAGEMENT naomba kujua vitu gani vya kuzingatia ambavyo vitanisaidia kuitwa kwenye interview.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kuna mdau anatafuta mtu mwenye sifa kama zako hebu pitia vizuri kwenye jukwaa la ajira niliona hyo threadMimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 ni muhitimu wa stashahada ya LABOUR RELATION AND PUBLIC MANAGEMENT naomba kujua vitu gani vya kuzingatia ambavyo vitanisaidia kuitwa kwenye interview.