Nimesamehe lakini sitasahau

Mkuu agiza Konyagi kubwa na chapati sita nakuja kulipia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mie nakushauri mleta mada mpe huyo dada kadi yako ya benki ili mshahara ukiingia awe anachukua matumizi
 
Jamani jamani
 
Pole mwaya ndio mambo ya dunia.
Tunaposikia mke na mume wamekunywa juice ya sumu na kufa wote muda mwingine hua ni hivi. Wewe umempenda sana huyo mwanamke na sio dhambi. Hata sie kuna watu tunawapenda na hua tunawapa second chances tukijua watabadilika, hauko peke yako.

Kama una uwezo wa kumsomesha mtoto msomeshe tu maana mtoto anakutambua wewe kama baba yake. Ila huyo mwanamke mpotezee tu fanya kama mapito ya mwanadamu basi.
 
We jamaa utakuwa umelishwa limbwata aiseee daah! qumamaqe kweli yaan upumbavu wote huo unaofanyiwa alafu unakuja kuomba ushauri hapa aisee, ebu tafuta mchungaji au kama vipi nenda kwa MWAMPOSA kakanyage nafuta ilo limbwata likutoke aisee daah!
 
Achana na.malaya,
WEE UME INGIA UWANJANI WAKATI MWENZAKO ANAONGOZA KWA GOLI MOJA....!
na mbaya zaidi huja mzalisha.
ACHA KUTUAMBIA WANAUME,
 
Mkuu juzi nimepigiwa simu na mwalimu wa mtoto anasumbua anataka kuongea nami nikaumia Sana nikaongea na mtoto anaonekana kanimis Sana so sauti ya mtoto nikilala inajirudia naumia Sana juu ya mtoto si mama
Dah umelogwa wewe
 
tulia acha kua kama mtu ambae hana misimamo, huyo mwanamke anafanya hivyo kwa sababu kuna kitu amekigundua kwako!!
.
.
shirikisha ubongo, acha ujinga kabisa! ndio ni mzuri, sawa, lakini uzuri wa mwanamke si kigezo cha wewe kumfanya mke!!
.
.
cha kwanza kua karibu na Mungu, upate amani, pili endelea kuchunguza umpate mke halali, huyo hakuwa wako, wakwako hawezi kukufanyia hayo,
.
.
kuhusu mtoto wewe si mjinga, achana nae, huyo baba yake na mtoto atajuana na ujinga wake, wewe kausha, achana na kuwaza vitu ambvyo havina mantiki vinakupotezea muda na amani,, mtu limetulia huko mtoto wake anatumia jina lako, halafu baadae anarudi tena kwake, au walipanga wakutapeli!! ni ujinga wa hali ya juu!!
.
.
pole sana, lakini maisha hayataki watu dhaifu wanaotafuta huruma, yanahitaji watu wenye nguvu na mamlaka ya kuyaendesha na kuyaamrisha maisha watakavyo!!!
 
Kuna mwamba alishawahi toa Uzi kuhusu wanawake wa JF hebu utafute, halafu uanzie hapo...

#YNWA
 
We jamaa sijui unajikutana nani vile humu JF. Kwenye comments zako nyingi unatumia maneno ambayo yanatweza utu wa mtu/watu. Mimi nadhani iko haja ya kukushughulikia kwa namna ambayo nitaona inafaa. Jifunze kutofautiana na hoja ya mtu bila kugombana. Nakuombea kwa Mungu akusamehe.
 
Weee mjinga kweli , umeona nimegombana naye ???

Nmeamua kutofautiana naye kwa lugha hiyohiyo ambayo nmeona inafaa.

Unajua maana ya kugombana???


We matako nini,, sasa wee ndio tunagombana.

Unaniletea vitisho vya kipumbavu ,, ANZA HATA SASA KUSHUGHULIKA SASA



Wee fala nini, mpuuzi kabisa, unaona kwa maisha haya na umri huu ni wakuongea namm kama huna akili ???


TENA UKOMEE NA USITHUBUTU SIKH NYINGINE KUNIFUNULIA MDOMO WAKO MKUBWA HUO.


KABLA YA KUNIFUNZA JAMBO ..HAKIKISHA U.EUNGANISHA DOMO LAKO KUBWA NA KA KAUBONGO KAKO KADOGO ULIKOJALIWA


Mungu akusaidie uache kunipurukia siku nyingine.


Mjinga mmoja wee, nilini wapi?? Nmewahi kukutweza utu wako???


Uliwah niPM mahali popote toka uanze kunifatilia ???


UMESHINDWA NN KUNIBLOK??? NMEKUOMBA UWE UNASOMA MAANDIKO YAKO???

MANYOKO KABISA...

SASA NIIVI, WEWE NA WENGINE AMBAO MNAKWEZEKA NA MAANDIKO YANGU, SIWALAZIMISHI KUSOMA, NA BADO HAMNIPANGIII NINI NIANDIKE .

MNIBLOK [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123].
 
Nimeanza utekelezaji wa kukushughulikia. Muda ndiyo utaamua. Si unadhani kila mtu ni wa kutukana humu ndani. Subiri.
 
Kudos

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nimeanza utekelezaji wa kukushughulikia. Muda ndiyo utaamua. Si unadhani kila mtu ni wa kutukana humu ndani. Subiri.
Nmekutukana, WEWE NI MATAKOO, ,mjinga mmoja weeee.


Unanichokonoa ukijua nitakukalia kimya ???


Mpuuzi mmoja weee, Niondolee upumbavu wako

NA UKOME KABISA, SHENZI WEEEE .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…