Mzee Shirimaa
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 1,539
- 3,456
Wewe ni mpumbavu , msengee kabisa maninaa
UNAOKOTA MALAYA HUMU ASOJITAMBUA, ANAKUENDESHA WEEE, UNAVUMILIA.
UMEFANIKIWA KUMUACHA ,ALAFU ANAKUJA KUKULETEA UMALAYA WAKE WAZIWAZI
"ET ANAOMBA HELA ZA SHULE?"
HILO DUBWASHA LIMEKUONA WEWE NI BWEGEEE JINGAAAA FALAAAAAA
Kwani ukiendelea kumhudumia huyo mtoto utachubuka ?Hodi wakuu!
Samahani kwa hili lakini inabidi niseme , mwaka 2017 nilileta thread moja hapa kwenu ya kutafuta mke nashukuru mungu nilifanikiwa , taratibu nikafuata akawa mke rasmi , yeye alikuwa na mtoto mmoja nilimpenda hivo hivo nikawa namlea Kama wangu , kiukweli nilimshukuru mungu kwa kukutanishwa naye !
Mwaka 2019 ndipo true colour yake halisi nikaitambua akawa ni mwanamke mwenye maneno mengi Sana na simu yake ikawa busy Sana nikaja tambua kumbe ana Yule mshikaji wake aliyemzalisha tayari wanawasiliana na tabia yake ikawa chafu Sana kiufupi nilipitia matatizo makubwa Sana kwenye ndoa hiyo Familia ikaingilia kidogo Mambo yakawa sawa huwezi amini nilimthamini sana yeye na ndugu zake pia lakini hakujali kabisa.
Ndgu zangu Mimi na wazazi wangu nikawa naumia Sana nikiamini ipo siku atabadilika nikawa nanunua zawadi napeleka nyumbani nadai kuwa mke wangu ndo kanunua kwa ajili yao kumbe hakuna nilifanya ivo ili kuwaaminisha wazazi kuwa anawapenda Sana lakini haikuwa ivo, mwaka huu January nilipata Safari ya kwenda Congo DRC mwanamke akarudia tabia zake za mwanzo ikafikia hatua akawa anatuma Text kwa leo anaenda kwa mwanamme so nisimsumbua na mengine mengi , nimerudi mwezi August moyo wangu ukiwa na maumivu makubwa Sana ila tayari nilikuwa na uamuzi wa kuachana nae !
Kweli nilifanikiwa Hilo nashukuru Mungu ndani ya muda mfupi Sana nimemsahau lakini kubwa lililonifanya kuja kwenu hapa jamvini Ni kuwa anapiga simu za kuomba pesa za shule za Yule mtoto ili hali Mimi so biological father ,but majina yote mtoto anatumia yangu na ananijua Mimi ndo baba yake , je nifanye nini wadau juu ya hili ndg zangu , niendelee na utaratibu huo au nimkaushie ?
Je wanawake wakweli wapo wapi ? au ndo utandawazi huu!
Nawasilisha.
Huyu atakuwa wa visiwani huko na ongea Yao yenye rojorojoDar hakuna mapimbi....atakuwa was huko huko mikoani kwenu [emoji23][emoji23]
Acheni Kumpotosha JamaaKwani ukiendelea kumhudumia huyo mtoto utachubuka ?
Acha roho mbaya mwanangu
Kuhusu mtoto, fanya kama unalea mtoto wa mazingira magumu, ada peleka mwenyewe.Hodi wakuu!
Samahani kwa hili lakini inabidi niseme , mwaka 2017 nilileta thread moja hapa kwenu ya kutafuta mke nashukuru mungu nilifanikiwa , taratibu nikafuata akawa mke rasmi , yeye alikuwa na mtoto mmoja nilimpenda hivo hivo nikawa namlea Kama wangu , kiukweli nilimshukuru mungu kwa kukutanishwa naye !
Mwaka 2019 ndipo true colour yake halisi nikaitambua akawa ni mwanamke mwenye maneno mengi Sana na simu yake ikawa busy Sana nikaja tambua kumbe ana Yule mshikaji wake aliyemzalisha tayari wanawasiliana na tabia yake ikawa chafu Sana kiufupi nilipitia matatizo makubwa Sana kwenye ndoa hiyo Familia ikaingilia kidogo Mambo yakawa sawa huwezi amini nilimthamini sana yeye na ndugu zake pia lakini hakujali kabisa.
Ndgu zangu Mimi na wazazi wangu nikawa naumia Sana nikiamini ipo siku atabadilika nikawa nanunua zawadi napeleka nyumbani nadai kuwa mke wangu ndo kanunua kwa ajili yao kumbe hakuna nilifanya ivo ili kuwaaminisha wazazi kuwa anawapenda Sana lakini haikuwa ivo, mwaka huu January nilipata Safari ya kwenda Congo DRC mwanamke akarudia tabia zake za mwanzo ikafikia hatua akawa anatuma Text kwa leo anaenda kwa mwanamme so nisimsumbua na mengine mengi , nimerudi mwezi August moyo wangu ukiwa na maumivu makubwa Sana ila tayari nilikuwa na uamuzi wa kuachana nae !
Kweli nilifanikiwa Hilo nashukuru Mungu ndani ya muda mfupi Sana nimemsahau lakini kubwa lililonifanya kuja kwenu hapa jamvini Ni kuwa anapiga simu za kuomba pesa za shule za Yule mtoto ili hali Mimi so biological father ,but majina yote mtoto anatumia yangu na ananijua Mimi ndo baba yake , je nifanye nini wadau juu ya hili ndg zangu , niendelee na utaratibu huo au nimkaushie ?
Je wanawake wakweli wapo wapi ? au ndo utandawazi huu!
Nawasilisha.
Hivi kuna haja ya kumtukana kweli?Wewe ni mpumbavu , msengee kabisa maninaa
UNAOKOTA MALAYA HUMU ASOJITAMBUA, ANAKUENDESHA WEEE, UNAVUMILIA.
UMEFANIKIWA KUMUACHA ,ALAFU ANAKUJA KUKULETEA UMALAYA WAKE WAZIWAZI
"ET ANAOMBA HELA ZA SHULE?"
HILO DUBWASHA LIMEKUONA WEWE NI BWEGEEE JINGAAAA FALAAAAAA
Hujui.!!'Hivi kuna haja ya kumtukana kweli?
Kumshauri atende wema ni kumpotosha ... aiseeeh watu mpo corrupted beyond repairAcheni Kumpotosha Jamaa
ACHA KUMDANGANYA ,KUTUNZA HUYO MTOTO.Kuhusu mtoto, fanya kama unalea mtoto wa mazingira magumu, ada peleka mwenyewe.
Huyu kunguru asikuzoee atakuharibia mahusiano mapya.
Kumbe onyo la kutokuoa singo parent linakuwaga na ukweli?
Yaani ningemuona live ningempiga panga Tu Walau afe Hana faida kabisa hapa dunianiWewe ni mpumbavu , msengee kabisa maninaa
UNAOKOTA MALAYA HUMU ASOJITAMBUA, ANAKUENDESHA WEEE, UNAVUMILIA.
UMEFANIKIWA KUMUACHA ,ALAFU ANAKUJA KUKULETEA UMALAYA WAKE WAZIWAZI
"ET ANAOMBA HELA ZA SHULE?"
HILO DUBWASHA LIMEKUONA WEWE NI BWEGEEE JINGAAAA FALAAAAAA
Well, Jamaa ameachana naye na akagundua dem bado anamawasiliano na mzazi mwenzie.Kwani ukiendelea kumhudumia huyo mtoto utachubuka ?
Acha roho mbaya mwanangu
UNATUAIBISHA SANA WASUKUMA YAANI HUU SIYO USHAMBA NI UPUMBAAAAAAAAFUUUUUUU KIWANGO CHA JALALAMi ni mchungaji
Sio kheeee... Acheni ujinga..mtu anapoamua kukufanya Mke, sio kwamba wee unakila kitu anachotaka.[emoji849][emoji849][emoji849]kheeee
Well, Jamaa ameachana naye na akagundua dem bado anamawasiliano na mzazi mwenzie.
WAJIBU WA BABA HALALI WA MTOTO NI UPI??
HIVI UNAJUA ,MOJA YA SABABU YAMTOA MADA KUMUOA HUYO DUBWASHA WENU NA MTOTO, NI KWASABABU HUYO DEMU ALIMUHAKIKISHIA MTOA MADA. "HANA MAWASILIANO YOYOTE NA BABA WAMTOTO, KWAMBA HAJUI HALIPO. KWAMBA ALIMKATAA MTOTO, KWAMBA HAJAWAH TOA HATA HAMSINI??"
MTOA MADA AKAPENDA BOGA NA UA LAKE ..
SASA MALIPO ALOPEWA, UNAONA YANAMSTAHILI????.
YAAN UENDELEE KUTUNZA MTOTO MWENYE BABA NA MAMA WANAOTIANA KILA SIKU???
[emoji117][emoji117]ACHENI KUJIFANYAA ...
roho mbaya unaijua wewe ????
UMGEKUA WEWE UNGEENDELEA KUMTUNZA???
KAMA UNGEENDELEA TIFANYE IVII
[emoji117]KWA SASA MTOA MADA SIO MUME WA DEMU.
[emoji117]NAWEWE PIA SIO MUME WA DEMU.
[emoji117]NYOTE KWASASA MNAFANANA ..LINAPOKUJA SUALA LA DEMU NA MTOTO WAKE.
KWA KUA MTOA MADA HAFAIDIKI. NAWEWE HUFAIDIKI.
[emoji117][emoji117] MWAMBIE AKUPE NAMBA ZA HUYO DEMU UANZE KUMTUNZAA MTOTO UFANYE KAMA UNAMSAIDIA ,WEE NI MSAMALIA MWEMA.
Na bora mwisho wasiku. Aje aseme alikua anachangamsha tu .Nakuhakikishia mtoa mada anachangamsha watu, hakuna mwanaume wa ivo ......
HESHIMA NI KITU CHA MSINGI SANA KWENYE MAHUSIANO.Mwanamke yeyote na popote pale anapokutana na mwanamme lazima respect iwepo baharia amekwama sana ipo siku huyo Malaya wake atakuja mpiga madole mkuuunduni mwanamke niwakukaziwa sio kuleta huruma hata kidogo
Sio kheeee... Acheni ujinga..mtu anapoamua kukufanya Mke, sio kwamba wee unakila kitu anachotaka.
Sio kheeee...... Unajijua ni singo mama,( sio dhambi) , kaja mtu akakuoa, kwann ufanye maujinga mengine, nakumuumiza mwanaume anayekujali wewe na mwanao ??
Kama ulijua huwez achana na Mzazi mwenzio, kwann ukubali kuolewa ????.
Sijui kwann huwa hamjui mnachokitafuta...nahapa ndipo watu wanakazia kua "KUOA SINGO MAMA ,NI KOSA"
kwa sababu ya maujinga kama haya wanayofanya wenzio.
Kama ni maneno "mpumbavu, msengee ,maninaa" .... Kwa akichokiandika ,kinamfaa. Tena alistahili zaidi ya hapoSijakataa kua ni makosa yako ila lugha ulioitumia ni kali sana jaman
Matusi ya nguoni kabisa
Muhurumie ata kidogo