Nimesamehe lakini sitasahau

Khee. Inatosha ndugu.. kama kusikia na asikie. Akapime DNA ili awe huru

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ndugu wee ndo umeachwa

Yaan nikwamba..Jamaa alitoa tangazo humu anatafuta mke.

Akapata Mwanamke akiwa na mtoto moja tayari.

Akambeba hivoivo akampenda nakumjali yaan na mambo mengiiiii akayavumilia.
 
Simpo endi kilia .

Nahuu ndo msimamo wa Mwanaume.
 
Tuliza mshono amigo
 
Kama unahitaji kulea mtoto. Nenda kituo chochote kile cha kulelea watoto yatima. Chukua mtoto umlee na siyo huyo mwenye baba na mama.
Hao wanakutumia km daraja tu. Mchungaji unafeli wapi?
Nashukiru mkuu
 
Achana nae kabisa,mwambie baba wa mtoto ndo amlipie hiyo ada.

Huyo mwanamke ni mpuuzi,nataka asome hii comment ajione kuwa ni mpumbavu sana.
 
Kuna majitu mapumbavu sana...mwanamke hupatikana mahala ulipo kila siku,mitandaoni mtu atajifanya mwema kwenye hamna
 
Huyo mtoto kwa sababu baba yake ni yale mapumbavu yasiyolea mlipie ada moja kwa moja shule usimpe mwanamke. Ikiwezekana Tunza risiti akikua mpatie maana kuna mipumbavu ya kike haichelewi kukudis na kujichukulia ujiko.

Hiyo ni fadhila tu si lazima, kama uwezo huna serikali zinasomesha bure.
 
sure masta watu mbn wanashauli usenge sana humu huwez kumsamehee mwanamke wa aina hyo maan kamzarau sana mleta mada kwa kauli zile ucpge simu naenda kwa bwan ang damn modafck[emoji2307]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hawezi fanya hvyo anasapot ujinga tu nae jamaa kwa kujiona saint kulko wengne,,,sema nae anaongea coz icho kitu ajakutana nacho in real life mzee
 
Acha kumhudumia huyo mtoto. Usitoe hata mia mbovu.
Km unahitaji kulea mtoto, nenda kamchukue mtoto yatima. Anza kumsomesha. Mungu atakubariki sana.
Usimuhudumie kwasababu
1. Meshaachana
2. Siyo mtoto wako
3. Alikufanyia dharau na hakuona uwepo wako
4. Hana mapenzi na wewe, anakutumia km daraja na mwenzake
5. Bado ana mahusiano na mzazi mwenzake.
Inafika mahala, unanunua zawadi kuwapelekea wazazi wako na kuwadanganya kuwa mkeo amanunua?
Mbaya zaidi anakutext anaenda kulala kwa mwanaume mwingine halafu anakuambia usisumbue.
Mbaya zaidi pamoja na mambo yote aliyokufanyia, bado anakuomba pesa ya ada.
Ukitoa, wenzako wanaenda kujipongeza kwa kugusanisha vikojoleo vyao huku wanasema. Lile li mwanaume, lijinga limelipa hela ya ada.
Ushajiuliza kwanini Mungu aliwachoma moto watu wa Sodoma na Gomora?

Kwani we unaonaje

Kwani nimesemaje bado ninaye au sipo nae?
 
Mkuu una
Mkuu una akili Sana nashukuru
 
Mwe mwe mwe jamani hata kama kakosea sio kumtukana hvi.... huwezi jua anapitia nini ukute ana msongo wa mawazo wewe si ndo unammaliza kabisa mwenzio. Labda bado yupo mahabani despite it all mpeleke mdogomdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…