Nimesamehe lakini sitasahau

Nimesamehe lakini sitasahau

Khee. Inatosha ndugu.. kama kusikia na asikie. Akapime DNA ili awe huru

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ndugu wee ndo umeachwa

Yaan nikwamba..Jamaa alitoa tangazo humu anatafuta mke.

Akapata Mwanamke akiwa na mtoto moja tayari.

Akambeba hivoivo akampenda nakumjali yaan na mambo mengiiiii akayavumilia.
 
Hawa viumbe ni wepesi sana km unyoya km una msimamo. Ni kama watoto wadogo. Kama hauna msimamo utaona viumbe wa ajabu sana
Ningekuwa mm ningemwambia hivi
Huyo mtoto ana baba yake na hajafa. Iwe mwanzo na mwisho kunipigia simu au kunitumia meseji.
Anawekwa kwenye blacklist.
Simpo endi kilia .

Nahuu ndo msimamo wa Mwanaume.
 
Well, Jamaa ameachana naye na akagundua dem bado anamawasiliano na mzazi mwenzie.


WAJIBU WA BABA HALALI WA MTOTO NI UPI??


HIVI UNAJUA ,MOJA YA SABABU YAMTOA MADA KUMUOA HUYO DUBWASHA WENU NA MTOTO, NI KWASABABU HUYO DEMU ALIMUHAKIKISHIA MTOA MADA. "HANA MAWASILIANO YOYOTE NA BABA WAMTOTO, KWAMBA HAJUI HALIPO. KWAMBA ALIMKATAA MTOTO, KWAMBA HAJAWAH TOA HATA HAMSINI??"

MTOA MADA AKAPENDA BOGA NA UA LAKE ..



SASA MALIPO ALOPEWA, UNAONA YANAMSTAHILI????.


YAAN UENDELEE KUTUNZA MTOTO MWENYE BABA NA MAMA WANAOTIANA KILA SIKU???



[emoji117][emoji117]ACHENI KUJIFANYAA ...


roho mbaya unaijua wewe ????

UMGEKUA WEWE UNGEENDELEA KUMTUNZA???



KAMA UNGEENDELEA TIFANYE IVII


[emoji117]KWA SASA MTOA MADA SIO MUME WA DEMU.

[emoji117]NAWEWE PIA SIO MUME WA DEMU.

[emoji117]NYOTE KWASASA MNAFANANA ..LINAPOKUJA SUALA LA DEMU NA MTOTO WAKE.


KWA KUA MTOA MADA HAFAIDIKI. NAWEWE HUFAIDIKI.

[emoji117][emoji117] MWAMBIE AKUPE NAMBA ZA HUYO DEMU UANZE KUMTUNZAA MTOTO UFANYE KAMA UNAMSAIDIA ,WEE NI MSAMALIA MWEMA.
Tuliza mshono amigo
 
Achana nae kabisa,mwambie baba wa mtoto ndo amlipie hiyo ada.

Huyo mwanamke ni mpuuzi,nataka asome hii comment ajione kuwa ni mpumbavu sana.
 
Wewe ni mpumbavu , msengee kabisa maninaa

UNAOKOTA MALAYA HUMU ASOJITAMBUA, ANAKUENDESHA WEEE, UNAVUMILIA.

UMEFANIKIWA KUMUACHA ,ALAFU ANAKUJA KUKULETEA UMALAYA WAKE WAZIWAZI

"ET ANAOMBA HELA ZA SHULE?"


HILO DUBWASHA LIMEKUONA WEWE NI BWEGEEE JINGAAAA FALAAAAAA
Kuna majitu mapumbavu sana...mwanamke hupatikana mahala ulipo kila siku,mitandaoni mtu atajifanya mwema kwenye hamna
 
Hodi wakuu!

Samahani kwa hili lakini inabidi niseme , mwaka 2017 nilileta thread moja hapa kwenu ya kutafuta mke nashukuru mungu nilifanikiwa , taratibu nikafuata akawa mke rasmi , yeye alikuwa na mtoto mmoja nilimpenda hivo hivo nikawa namlea Kama wangu , kiukweli nilimshukuru mungu kwa kukutanishwa naye !

Mwaka 2019 ndipo true colour yake halisi nikaitambua akawa ni mwanamke mwenye maneno mengi Sana na simu yake ikawa busy Sana nikaja tambua kumbe ana Yule mshikaji wake aliyemzalisha tayari wanawasiliana na tabia yake ikawa chafu Sana kiufupi nilipitia matatizo makubwa Sana kwenye ndoa hiyo Familia ikaingilia kidogo Mambo yakawa sawa huwezi amini nilimthamini sana yeye na ndugu zake pia lakini hakujali kabisa.

Ndgu zangu Mimi na wazazi wangu nikawa naumia Sana nikiamini ipo siku atabadilika nikawa nanunua zawadi napeleka nyumbani nadai kuwa mke wangu ndo kanunua kwa ajili yao kumbe hakuna nilifanya ivo ili kuwaaminisha wazazi kuwa anawapenda Sana lakini haikuwa ivo, mwaka huu January nilipata Safari ya kwenda Congo DRC mwanamke akarudia tabia zake za mwanzo ikafikia hatua akawa anatuma Text kwa leo anaenda kwa mwanamme so nisimsumbua na mengine mengi , nimerudi mwezi August moyo wangu ukiwa na maumivu makubwa Sana ila tayari nilikuwa na uamuzi wa kuachana nae !

Kweli nilifanikiwa Hilo nashukuru Mungu ndani ya muda mfupi Sana nimemsahau lakini kubwa lililonifanya kuja kwenu hapa jamvini Ni kuwa anapiga simu za kuomba pesa za shule za Yule mtoto ili hali Mimi so biological father ,but majina yote mtoto anatumia yangu na ananijua Mimi ndo baba yake , je nifanye nini wadau juu ya hili ndg zangu , niendelee na utaratibu huo au nimkaushie ?
Je wanawake wakweli wapo wapi ? au ndo utandawazi huu!

Nawasilisha.
Huyo mtoto kwa sababu baba yake ni yale mapumbavu yasiyolea mlipie ada moja kwa moja shule usimpe mwanamke. Ikiwezekana Tunza risiti akikua mpatie maana kuna mipumbavu ya kike haichelewi kukudis na kujichukulia ujiko.

Hiyo ni fadhila tu si lazima, kama uwezo huna serikali zinasomesha bure.
 
sure masta watu mbn wanashauli usenge sana humu huwez kumsamehee mwanamke wa aina hyo maan kamzarau sana mleta mada kwa kauli zile ucpge simu naenda kwa bwan ang damn modafck[emoji2307]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hawezi fanya hvyo anasapot ujinga tu nae jamaa kwa kujiona saint kulko wengne,,,sema nae anaongea coz icho kitu ajakutana nacho in real life mzee
 
Acha kumhudumia huyo mtoto. Usitoe hata mia mbovu.
Km unahitaji kulea mtoto, nenda kamchukue mtoto yatima. Anza kumsomesha. Mungu atakubariki sana.
Usimuhudumie kwasababu
1. Meshaachana
2. Siyo mtoto wako
3. Alikufanyia dharau na hakuona uwepo wako
4. Hana mapenzi na wewe, anakutumia km daraja na mwenzake
5. Bado ana mahusiano na mzazi mwenzake.
Inafika mahala, unanunua zawadi kuwapelekea wazazi wako na kuwadanganya kuwa mkeo amanunua?
Mbaya zaidi anakutext anaenda kulala kwa mwanaume mwingine halafu anakuambia usisumbue.
Mbaya zaidi pamoja na mambo yote aliyokufanyia, bado anakuomba pesa ya ada.
Ukitoa, wenzako wanaenda kujipongeza kwa kugusanisha vikojoleo vyao huku wanasema. Lile li mwanaume, lijinga limelipa hela ya ada.
Ushajiuliza kwanini Mungu aliwachoma moto watu wa Sodoma na Gomora?

Kwani we unaonaje

Kwani nimesemaje bado ninaye au sipo nae?
 
Mkuu una
Huyo mtoto kwa sababu baba yake ni yale mapumbavu yasiyolea mlipie ada moja kwa moja shule usimpe mwanamke. Ikiwezekana Tunza risiti akikua mpatie maana kuna mipumbavu ya kike haichelewi kukudis na kujichukulia ujiko.

Hiyo ni fadhila tu si lazima, kama uwezo huna serikali zinasomesha bure.
Mkuu una akili Sana nashukuru
 
Wewe ni mpumbavu , msengee kabisa maninaa

UNAOKOTA MALAYA HUMU ASOJITAMBUA, ANAKUENDESHA WEEE, UNAVUMILIA.

UMEFANIKIWA KUMUACHA ,ALAFU ANAKUJA KUKULETEA UMALAYA WAKE WAZIWAZI

"ET ANAOMBA HELA ZA SHULE?"


HILO DUBWASHA LIMEKUONA WEWE NI BWEGEEE JINGAAAA FALAAAAAA
Mwe mwe mwe jamani hata kama kakosea sio kumtukana hvi.... huwezi jua anapitia nini ukute ana msongo wa mawazo wewe si ndo unammaliza kabisa mwenzio. Labda bado yupo mahabani despite it all mpeleke mdogomdogo
 
Back
Top Bottom