Nimeshaanza kuwasaidia Big Bullets FC ya Malawi ili Waifunge Simba SC ya Barbara na Matola tarehe 10 Sept 2022


Hongera
 
Unaota ww ndoto ya mchana
 
Minocycline nakupongeza kwa msaada wako wa ulozi kwa Big Bullets.
Kumbe Wewe jamaa ni noma kwa Nongwa zisizo na mafanikio.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Punguza ujuaji
 

Nadhani uligonga mkenge wa jogoo! Msaada wako haukufua dafu!
 
Kakimbia uzi wake
Leo hii akitumia ile ID yake iliyo zoeleka! Anajifanya eti kuisifia tena timu yake, na pia CEO wake aliyekuwa akimnanga kila aina ya matusi!

Hakika huyu jamaa kweli ni Popoma.
 
Siri ulizotoa ni zipi? Mbona haukuwa msaada huko. Vipi maoni yako baada ya Mgunda kufanya vizuri?
Kingine jifunze kudhania ukiwa sehemu we ni mtu muhimu saanaaa na kutaka maoni yako yakubaliwe kila ukisema😆😆😆
 
Wewe unapojiita Minocline unakuwa Uto damu damu!! Ukijiita Gentamycine unakuwa makolo damu damu na ni mtu yule yule na mwandiko huo huo tukueleweje???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…