Nimeshafeli sana!

Nimeshafeli sana!

City Rider

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2022
Posts
402
Reaction score
1,212
Nimeshajaribu kufanya biashara nyingi sana nikafeli sana nilikata tamaa nilipofeli lakini baada ya muda mchache nilitamani tena kufanya biashara nkaingia nikafeli sana nikarudia .

Nimejifunza nini?

If you do nothing you can not fail, if you can not fail you can not achieve anything.

Sasa hivi ninafanya biashara ambayo napata wateja wengi sana. Haya ni matokeo ya kufail na kuwa tayari kuface rejections.

Nampango wa kuacha kazi bosi hataki niache wala nimpe letter ya resignation nasubiri dili moja kubwa likitiki namtuma boda boda apeleke resignation letter.

DO NOT UNDER ESTIMATE FAILURE! FAIL FAIL AND FAIL AGAIN mimi sio rich ila nimeshaiona njia ya kupita kuwa Rich.

Huu ni ushuhuda nautoa leo wafanyabiashara wataelewa.
 
Nimesoma hii stry kwa hofu.. nina jambo langu nimeliandaa ni zito.. staki kabisa stry za kufail kufanya tena kufail.. natamani liende tu. Mtaji wangu urudi niukuze maradufu. Way to january god bless.
 
Nimesoma hii stry kwa hofu.. nina jambo langu nimeliandaa ni zito.. staki kabisa stry za kufail kufanya tena kufail.. natamani liende tu. Mtaji wangu urudi niukuze maradufu. Way to january god bless.
its impossible my friend tafuta boss akuajiri
 
We acha tu mm dem alianiacha akaona mm namikosi kama nimerogwa ila nlikua nasema tu mm spata hasara ila napata lesson nashkuru now sio kama zaman vitu nagusa vinaenda
Mtu mwenye moyo mwepesi hawezi kuelewa
 
Nimesoma hii stry kwa hofu.. nina jambo langu nimeliandaa ni zito.. staki kabisa stry za kufail kufanya tena kufail.. natamani liende tu. Mtaji wangu urudi niukuze maradufu. Way to january god bless.
Kama ni mgeni kwenye biashara kufail hakukwepeki kwasabu huna uzoefu cha kufanya kama una mtaji wa mil 5 tafuta biashara ya mtaji mdogo kama laki 5 hivi au mil 1 ili ukifail ile iliyobaki itakusaidia kuinuka tena ukiwa na uzoefu usiweke mayai yote kwenye kapu moja.
 
Back
Top Bottom