Nimeshangaa eti vikao vya Bunge vinaendelea ilihali hayupo anayejali

Yaani hata pale Shule ya Msingi Masanga sidhani kama wanatambua hilo.
๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ Umenikumbusha Shule yangu ya Matukutu pale Karibu na Zahanati ya Mwaulandi kwa Dokta Lazaro RIP
Baada ya Matukutu Mimi nilisoma Shule ya Ndoleleji !

Duh ! Nimekumbuka mbali sana ! ๐Ÿ™๐Ÿ™
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ life was fantastic those days ๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Mvuto kwani maigizo yale?
 
Kwan hilo ni Bunge au vikao vya Sisiemu
 
Nilitarajia bunge liwepo mwezi wa 11 sasa sijui imekuwaje linakuwepo sasaivi au kuna dharura au wamekubaliana kutupiga kwa njia hiyo na mwezi wa 11 watakuwepo tena.
 
Kinachoendelea ni mkutano au kikao kama cha kijiwe cha kahawa, ubanda au kilabu cha pombe ya kienyeji.
 
Ngw'abhulandi S/M hiyo, hahaha!

Ndoleleji Mission kwa kina Mwalimu George na diwani wao wa kudumu bwana Mohamed.

Hivi kale ka George Edward kapo? Ka mwanasiasa pale Ndoleleji๐Ÿ˜†.

Sisi ndiyo wale tulikuwa wasela wa vijiji vile kuanzia Lagana kwa Nyangindu kule, Ngw'amadulu na hata ukivuka mto Tungu uje Sanjo ile hadi Ndoleleji humo.

Usisahau Idisa-nhambo, Ngw'alata, Masanga, Ngw'angh'alanga, Isemelo hadi Ngw'ambiti hahaha!
 
Ngw'abhulandi S/M hiyo, hahaha!

Ndoleleji Mission kwa kina Mwalimu George na diwani wao wa kudumu bwana Mohamed.

Hivi kale ka George Edward kapo? Ka mwanasiasa ๐Ÿ˜†.
Duh ๐Ÿ™„ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hiyo ilikuwa long time kweli kweli !
๐Ÿ˜‚
1963 Ndoleleji Maryknoll Fathers Middle School , Huo mwaka nilianza kusoma darasa la IV hapo ! Mwalimu wa darasa alikuwa ni Mwalimu Paulo ( RIP )
 
Bunge la nchi gani duniani Lina mvuto? Wewe unahisi mvuto ni pale watu wajinga kama Lissu wanaporopokaropoka Bungeni? Kwa taarifa yako Bunge halihitaji kuwa na mvuto, bali weledi wa Kazi zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ