Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
- Thread starter
-
- #41
Hatari!Duh π ππ
Hiyo ilikuwa long time kweli kweli !
π
1963 Ndoleleji Maryknoll Fathers Middle School , Huo mwaka nilianza kusoma darasa la IV hapo ! Mwalimu wa darasa alikuwa ni Mwalimu Paulo ( RIP )
Bunge la sasa sawa na kutoa hela mfuko wa kulia unahamishia kushoto.Mchana wa leo rafiki yangu ambaye ni msaidizi wa kigogo fulani nimeshangaa ananiaga eti anatakiwa kupanda flight kuelekea Dodoma boss wake ametakiwa na Bunge kwenda kutoa maelezo kwenye Kamati mojawapo ya Bunge kuhusu sintofahamu ihusuyo shamba la mwekezaji kule Rukwa.
Wallah kwanza sikufahamu kama vikao vya Bunge vinaendelea.
Pili nimejiuliza kwa nini Bunge la sasa halina mvuto kabisa!?
Hivi yule Mohamed uliyemtaja bado yupo hai ?Hatari!
Hata mimi sikujua kama bunge linaendelea na vikao, kiherehere chako ndo kimesababisha nijueMchana wa leo rafiki yangu ambaye ni msaidizi wa kigogo fulani nimeshangaa ananiaga eti anatakiwa kupanda flight kuelekea Dodoma boss wake ametakiwa na Bunge kwenda kutoa maelezo kwenye Kamati mojawapo ya Bunge kuhusu sintofahamu ihusuyo shamba la mwekezaji kule Rukwa.
Wallah kwanza sikufahamu kama vikao vya Bunge vinaendelea.
Pili nimejiuliza kwa nini Bunge la sasa halina mvuto kabisa!?
Wale amsha amsha wa bunge lililopita muliwaondoa kwa hila, mmebaki wenyewe mbogamboga, no one is interested. Tunamisi sana bunge la akina Zitto, Lissu, Mnyika, Heche, Sugu na wale wa CUF. Lilikuwa la moto sana.Mchana wa leo rafiki yangu ambaye ni msaidizi wa kigogo fulani nimeshangaa ananiaga eti anatakiwa kupanda flight kuelekea Dodoma boss wake ametakiwa na Bunge kwenda kutoa maelezo kwenye Kamati mojawapo ya Bunge kuhusu sintofahamu ihusuyo shamba la mwekezaji kule Rukwa.
Wallah kwanza sikufahamu kama vikao vya Bunge vinaendelea.
Pili nimejiuliza kwa nini Bunge la sasa halina mvuto kabisa!?
Yule ni wa palepale Ndoleleji, Shagihilu alikuwa anaenda kuswali kwa sababu pale Ndoleleji hapakuwa na Msikiti wakati ule.Hivi yule Mohamed uliyemtaja bado yupo hai ?
Mtu wa Shagihilu π
Nimeshangaa sana!!Hivi kumbe tuna bunge
Ova
Okay , !Yule ni wa palepale Ndoleleji, Shagihilu alikuwa anaenda kuswali kwa sababu pale Ndoleleji hapakuwa na Msikiti wakati ule.
Sina hakika na uwepo wake, japokuwa hadi 2015 yeye ndiye alikuwa Diwani wa Kata ya Shagihilu kabla ya kugawanywa kuwa Kata mbili yaani Kata ya Shagihilu na Kata ya Ndoleleji.
Tanzania kwa sasa haina bunge. Kuna wahuni ambao hawakupigiwa hata kura na wananchi, wakapora mamlaka ya wananchi, sasa wahuni hawa wanajiita ni wabungeMkuu bunge lipo linaendelea na ni Zuri tu....likiongozwa na mwanamama makini kabisa,..
π€£π€£π€£Weka na namba yako ya simu...