Nimeshangaa kumuona aliyekuwa bodyguard wa Diamond “Mwarabu Fighter” akiwa anamlinda Zari

Shule ya muhimu sana tena sana ivo kaja bure? Shule na mihemko shule
 
Ujinga huo na ushamba wako, hivi unafikiri kuachana ni uadui, si ka mwomba tu Baba watoto wake naye kakubali....
Unajua mwarabu alitokaje kwa diamond? Hakutoka kikawaida kama unavyodhani yaani ni kama alifukuzwa hivi..
 
Huo muda ungeutumia kuwapikia watoto wako..
 
Wee shangaa tuu macho yako hayo una ridhaa nayo
 
Shukran mkuu hapa umetuweka sawa wengi, safi sana kama amejiajili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…