Nimeshangaa kumuona aliyekuwa bodyguard wa Diamond “Mwarabu Fighter” akiwa anamlinda Zari

Nimeshangaa kumuona aliyekuwa bodyguard wa Diamond “Mwarabu Fighter” akiwa anamlinda Zari

Hivi boss lady all the way to tz kutangaza pampaz, kweli boss lady?? Aisee tukinao anapenda kiki, ndio maana waganda hawana time nae.

Boss led tungeskia yupo UK / Us anasain mikataba mikubwa, huko ndo hawezi kanyaga alipewa ban ya maisha yaan vurugu tupu.

Watu wa kutangaza pampas inabidi wawe hata akina
Ebitoke ila sio bosled zari[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Shule ya muhimu sana tena sana ivo kaja bure? Shule na mihemko shule
 
Ujinga huo na ushamba wako, hivi unafikiri kuachana ni uadui, si ka mwomba tu Baba watoto wake naye kakubali....
Unajua mwarabu alitokaje kwa diamond? Hakutoka kikawaida kama unavyodhani yaani ni kama alifukuzwa hivi..
 
Jamaa sio mlinzi wa huyo bi dada...anajitegemea na ana kampunibyake ya ulinzi hata wewe ukihitaji unaweza mkodi akakulinda ni pesa yako tu. Hata majuzi hapa alikua akimlinda Hamissa katika kitukio flani hivi. So ni kumkodi tu kwa muda na si kumwajiri jumla
Shukran mkuu hapa umetuweka sawa wengi, safi sana kama amejiajili
 
Back
Top Bottom