pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,083
Shule ya muhimu sana tena sana ivo kaja bure? Shule na mihemko shuleHivi boss lady all the way to tz kutangaza pampaz, kweli boss lady?? Aisee tukinao anapenda kiki, ndio maana waganda hawana time nae.
Boss led tungeskia yupo UK / Us anasain mikataba mikubwa, huko ndo hawezi kanyaga alipewa ban ya maisha yaan vurugu tupu.
Watu wa kutangaza pampas inabidi wawe hata akina
Ebitoke ila sio bosled zari[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]