Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Yesu ni MUNGU.hebukueni namsimamo mmoja.yesu nimungu siomungu?[emoji41][emoji41][emoji41]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yesu ni MUNGU.hebukueni namsimamo mmoja.yesu nimungu siomungu?[emoji41][emoji41][emoji41]
Kumbe ufahamu wako Kuhusu Mambo ya Kiroho ni Mdogo sana.Ni hivi Ktk Spiritual world kwa Msaada wa MUNGU,Watakatifu wa MUNGU huwa sawa na Malaika,hivyo huwa na sifa ya Mult-Presence.Kuna jambo la hatari sana mnalifanya pale mnapoomba Maria awaombee kwasababu mnamfanya yeye kuwa omnipresent. Kwamba yupo kila mahali dunia nzima akisikiliza maombi yenu na kuyapeleka kwa Yesu. Hii ni sifa ya Mungu peke yake. No wonder mnapenda kumuita mama wa Mungu wakati mnajua fika maria hakumzaa Mungu bali alitumika tu kutengeneza mwili.
Acha kutamka mambo ukiongozwa na ujinga. Malaika sio multi present. Mungu peke yake ndio anaweza kuwepo maeneo yote duniani na ulimwenguni kwa wakati mmoja.Kumbe ufahamu wako Kuhusu Mambo ya Kiroho ni Mdogo sana.Ni hivi Ktk Spiritual world kwa Msaada wa MUNGU,Watakatifu wa MUNGU huwa sawa na Malaika,hivyo huwa na sifa ya Mult-Presence.
Akili yako iko limited - unajudge vitu utafikiri unaongelea wanadamu wenzio...wewe nani alikuambia kwenye spiritual world kunahitajika physical presence - kwamba akiwa hapa pengine asiwepo?Msiwe mnajifanya kujua vitu sana vitu ambavyo we are not sure namna vinavyofanya kazi....tukubali kuwa kuna vitu vingi hatuvielewiAcha kutamka mambo ukiongozwa na ujinga. Malaika sio multi present. Mungu peke yake ndio anaweza kuwepo maeneo yote duniani na ulimwenguni kwa wakati mmoja.
Hata mimi nasali Sala ya Bikira Maria na naandika articles kila siku. Kanisa Katoliki to which I belong linaamini Mungu kwa kumshirikisha Bikira Maria katika economy of salvation was not a matter of utility - that you use somebody as long as is useful to you at that moment after which he or she is useless to you.Moja kati ya mambo ambayo yapo wazi kabisa katika biblia ni maelekezo ya namna maombi yanatakiwa kufanywa. Agizo la maombi lipo very open.
Yesu Kristo alisema mara nyingi sana kwenye injili ya Yohana kwamba tuombe kwa jina lake. Mtume Paulo ameandika tufanye yote katika jina la Yesu Kristo.
Sasa profesa ambaye ameandika paper kibao na amefanya literature review za kutosha ameshindwa kusoma biblia kufahamu tunapaswa kuomba kwa jina gani?
Hakuna sehemu hata moja mitume waliomba kwa jina la Maria. Yule Maria mama wa Yesu alikaa pamoja na mitume na walijazwa Roho Mtakatifu pamoja na wakanena kwa lugha.
Maria alimzaa Yesu lakini hakumzaa Mungu. Kuna tofauti kati ya Yesu na Kristo. Maria sio mama wa Mungu bali ni mama yake Yesu. Yesu ni mwanadamu na Kristo ni Mwana wa Mungu.
Hivyo Yesu Kristo ni Mungu na mwanadamu kwa wakati mmoja. Asomaye na afahamu.
Hata kama mitume hawakumwomba it doesn't mean that ndiyo sababu ya kufanya tusimwombe Bikira Maria. Kanisa Katoliki linamchukulia Bikira Maria kama mshiriki mkuu wa ukombozi wa mwanadamu kuanzia pale malaika Gabrieli alipomwa'proach' kwamba ana favour ya Mungu na kuanzia sasa vizazi vyote vitamwita "Mwenyeheri" (aliyebarikiwa). Mungu hakumtumia Bikira Maria as a matter of utility 'as long as is useful this time's na baadaye anaweza kuwa dumped. Ndiyo maana hata yeye aliambatana na mwanaye tangu mwanzo hadi mwisho, naam hata baada ya 'this temporal life'. Huwezi kumheshimu Yesu kikamilifu kama unamdharau mama yake na kumwona useless. It's a common practice kwamba kama wewe ni rafiki wa A huwezi ukampita tu mama yake na kuona kwamba hana maana kwako. Kama A ni rafiki yako, basi hata mama yake utamwona kama mama yako, utamheshimu kama mama yako kwa sababu ya huyo rafiki yako. Hivyo, hata Bikira Maria anapata prominence kwa sababu ya ukuu wa Yesu, kwa sababu ya mambo makuu ambayo mwenyezi Mungu ametifanyia kupitia yeye. Na heshima ya Bikira Maria haiishii hapo, na kama malaika alivyosema "kuanzia sasa vizazi vyote vitamwita Mwenyeheri."Moja kati ya mambo ambayo yapo wazi kabisa katika biblia ni maelekezo ya namna maombi yanatakiwa kufanywa. Agizo la maombi lipo very open.
Yesu Kristo alisema mara nyingi sana kwenye injili ya Yohana kwamba tuombe kwa jina lake. Mtume Paulo ameandika tufanye yote katika jina la Yesu Kristo.
Sasa profesa ambaye ameandika paper kibao na amefanya literature review za kutosha ameshindwa kusoma biblia kufahamu tunapaswa kuomba kwa jina gani?
Hakuna sehemu hata moja mitume waliomba kwa jina la Maria. Yule Maria mama wa Yesu alikaa pamoja na mitume na walijazwa Roho Mtakatifu pamoja na wakanena kwa lugha.
Maria alimzaa Yesu lakini hakumzaa Mungu. Kuna tofauti kati ya Yesu na Kristo. Maria sio mama wa Mungu bali ni mama yake Yesu. Yesu ni mwanadamu na Kristo ni Mwana wa Mungu.
Hivyo Yesu Kristo ni Mungu na mwanadamu kwa wakati mmoja. Asomaye na afahamu.
Ukuu wa Bikira Maria ulianzia pale alipokuwa 'approached' na Malaika Gabrieli na kuambiwa Mungu amemchagua kuwa mama wa mkombozi na "kuanzia sasa vizazi vyote vitakuita Mwenyeheri". Haya maneno yako Injili ya Luka. Na Bikira Maria tangu alipotambua role yake kama mama wa mkombozi ali'cooporate' kikamilifu hadi mwisho. Na Mungu huendelea kuwafanyia makuu wote wanaoishi kikamilifu neno lake. Hatuwezi kumwona Yesu kama mkombozi wetu kama hatuwezi kumwona Bikira Maria kama mama wa mkombozi wetu. Never ever kwa sababu kufanya hivyo goes against right reason, good judgement, logic, best practice na hata human practice. Tuna option moja tu katika hili: ama Yesu ni mkombozi/mwokozi na Bikira Maria ni mama wa mwokozi/mkombozi ama kama hatutambuwi hivyo hatujui asili ya imani yetu and we are lost. Kama hakuandikwa kama tutamwomba Bikira Maria mbona hata haikuandikwa kwamba Bikira Maria angekuwepo msalabani na Yesu kabla ya kufa kwake angemkabidhi kwa mwanafunzi aliyempenda Yohanna na mbona ilivyotokea. Mbona haikuandikwa kwamba kwenye harusi ya Kana wageni harusini wataishiwa kinywani na watamwa'pproach' Bikira Maria ili amwambie Yesu kwamba kinywani kimeisha na afanye muujiza, lakini ndivyo ilivyotokea? Yet, kwenye Injili ya Yohanna tunasoma kwamba siyo tote yaliyotendelea yaliandikwa "maana kama yangeandikwa dunia ingejaa vitabu"? Kwa nini tunashindwabkusoma na kuelewa au kwa nini tunachagua cha kusoma na kuelewa kutoka kwenye biblia?Hiyo ndio raha ya mambo ya MUNGU kila mtu huelewa kwa akili yake ya kuzaliwa na sio ya kusoma sana ndio maana unamkuta mtu anaejua kusoma na kuandika ameelewa vizuri maandiko kuliko professor mwenye mielem mpaka inamwagika unashanga kumkuta msomi anasali sara ya rozali wakati kwenye biblia haipo juilize kuna wasomi wangapi wa kihindi wanaamini mungu ng'ombe au wasomi wangapi wanaamini kuroga wasomi wangapi wameweka siku ya jumaa pili ndio siku ya ibada wakati kwenye biblia haipo wasomi wangapi wanavaa min sket fup paja wazi wakiami MUNGU anaangalia rohon wakati hakuna hata nukta ya aya kwenye Biblia ilio ruhusu mavazi hayo brother hawa ndio binadamu