Nimeshangaa kumuona Profesa mmoja maarufu wa pale UDSM akisali sala ya Bikira Maria

Kumbe ufahamu wako Kuhusu Mambo ya Kiroho ni Mdogo sana.Ni hivi Ktk Spiritual world kwa Msaada wa MUNGU,Watakatifu wa MUNGU huwa sawa na Malaika,hivyo huwa na sifa ya Mult-Presence.
 
Kumbe ufahamu wako Kuhusu Mambo ya Kiroho ni Mdogo sana.Ni hivi Ktk Spiritual world kwa Msaada wa MUNGU,Watakatifu wa MUNGU huwa sawa na Malaika,hivyo huwa na sifa ya Mult-Presence.
Acha kutamka mambo ukiongozwa na ujinga. Malaika sio multi present. Mungu peke yake ndio anaweza kuwepo maeneo yote duniani na ulimwenguni kwa wakati mmoja.
 
Nakereka kweli kweli na hivi viumbe visivyoamini uwepo wa Mungu. Ingependeza kama nisingeziona thread zao
 
Acha kutamka mambo ukiongozwa na ujinga. Malaika sio multi present. Mungu peke yake ndio anaweza kuwepo maeneo yote duniani na ulimwenguni kwa wakati mmoja.
Akili yako iko limited - unajudge vitu utafikiri unaongelea wanadamu wenzio...wewe nani alikuambia kwenye spiritual world kunahitajika physical presence - kwamba akiwa hapa pengine asiwepo?Msiwe mnajifanya kujua vitu sana vitu ambavyo we are not sure namna vinavyofanya kazi....tukubali kuwa kuna vitu vingi hatuvielewi
 
Hata mimi nasali Sala ya Bikira Maria na naandika articles kila siku. Kanisa Katoliki to which I belong linaamini Mungu kwa kumshirikisha Bikira Maria katika economy of salvation was not a matter of utility - that you use somebody as long as is useful to you at that moment after which he or she is useless to you.
Hata kama mitume hawakumwomba it doesn't mean that ndiyo sababu ya kufanya tusimwombe Bikira Maria. Kanisa Katoliki linamchukulia Bikira Maria kama mshiriki mkuu wa ukombozi wa mwanadamu kuanzia pale malaika Gabrieli alipomwa'proach' kwamba ana favour ya Mungu na kuanzia sasa vizazi vyote vitamwita "Mwenyeheri" (aliyebarikiwa). Mungu hakumtumia Bikira Maria as a matter of utility 'as long as is useful this time's na baadaye anaweza kuwa dumped. Ndiyo maana hata yeye aliambatana na mwanaye tangu mwanzo hadi mwisho, naam hata baada ya 'this temporal life'. Huwezi kumheshimu Yesu kikamilifu kama unamdharau mama yake na kumwona useless. It's a common practice kwamba kama wewe ni rafiki wa A huwezi ukampita tu mama yake na kuona kwamba hana maana kwako. Kama A ni rafiki yako, basi hata mama yake utamwona kama mama yako, utamheshimu kama mama yako kwa sababu ya huyo rafiki yako. Hivyo, hata Bikira Maria anapata prominence kwa sababu ya ukuu wa Yesu, kwa sababu ya mambo makuu ambayo mwenyezi Mungu ametifanyia kupitia yeye. Na heshima ya Bikira Maria haiishii hapo, na kama malaika alivyosema "kuanzia sasa vizazi vyote vitamwita Mwenyeheri."
 
Ukuu wa Bikira Maria ulianzia pale alipokuwa 'approached' na Malaika Gabrieli na kuambiwa Mungu amemchagua kuwa mama wa mkombozi na "kuanzia sasa vizazi vyote vitakuita Mwenyeheri". Haya maneno yako Injili ya Luka. Na Bikira Maria tangu alipotambua role yake kama mama wa mkombozi ali'cooporate' kikamilifu hadi mwisho. Na Mungu huendelea kuwafanyia makuu wote wanaoishi kikamilifu neno lake. Hatuwezi kumwona Yesu kama mkombozi wetu kama hatuwezi kumwona Bikira Maria kama mama wa mkombozi wetu. Never ever kwa sababu kufanya hivyo goes against right reason, good judgement, logic, best practice na hata human practice. Tuna option moja tu katika hili: ama Yesu ni mkombozi/mwokozi na Bikira Maria ni mama wa mwokozi/mkombozi ama kama hatutambuwi hivyo hatujui asili ya imani yetu and we are lost. Kama hakuandikwa kama tutamwomba Bikira Maria mbona hata haikuandikwa kwamba Bikira Maria angekuwepo msalabani na Yesu kabla ya kufa kwake angemkabidhi kwa mwanafunzi aliyempenda Yohanna na mbona ilivyotokea. Mbona haikuandikwa kwamba kwenye harusi ya Kana wageni harusini wataishiwa kinywani na watamwa'pproach' Bikira Maria ili amwambie Yesu kwamba kinywani kimeisha na afanye muujiza, lakini ndivyo ilivyotokea? Yet, kwenye Injili ya Yohanna tunasoma kwamba siyo tote yaliyotendelea yaliandikwa "maana kama yangeandikwa dunia ingejaa vitabu"? Kwa nini tunashindwabkusoma na kuelewa au kwa nini tunachagua cha kusoma na kuelewa kutoka kwenye biblia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…