Nimeshangaa kuona kahawa ya ubuyu. Je kahawa hii ina ubora kiasi gani?

Nimeshangaa kuona kahawa ya ubuyu. Je kahawa hii ina ubora kiasi gani?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Leo nimeona kahawa iliyotengenezwa na ubuyu rafiki yangu aliitumia

Ni mara ya kwanza kuona na nimeshangaa

Mwenye uzoefu atujuze ubora au madhara yake kiafya kama yapo

Nimeweka na kielelezo

Dominika njema
 
Attachments

  • IMG_20240916_102658.jpg
    IMG_20240916_102658.jpg
    3.9 MB · Views: 4
Wadau hamjamboni nyote?

Leo nimeona kahawa iliyotengenezwa na ubuyu rafiki yangu aliitumia

Ni mara ya kwanza kuona na nimeshangaa

Mwenye uzoefu atujuze ubora au madhara yake kiafya kama yapo

Nimeweka na kielelezo

Dominika njema
Inaitwa KAHAWA sababu imetokana na mmea au zao la Kawaha. Sasa Malighafi inapokua sio tena kahawa bali UBUYU sio sawa kuendelea kuiita KAHAWA.

Yaan hakuna KAHAWA ya UBUYU.
 
Rafiki yako aliitumia!

Kwanini hukumuuliza huyo rafiki yako aliyeitumia?
Au huyo rafiki yako ndio wewe?
 
Kahawa inakuwaje ubuyu? Hizi shule za kata ni majanga!
 
Back
Top Bottom