Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Inaitwa KAHAWA sababu imetokana na mmea au zao la Kawaha. Sasa Malighafi inapokua sio tena kahawa bali UBUYU sio sawa kuendelea kuiita KAHAWA.Wadau hamjamboni nyote?
Leo nimeona kahawa iliyotengenezwa na ubuyu rafiki yangu aliitumia
Ni mara ya kwanza kuona na nimeshangaa
Mwenye uzoefu atujuze ubora au madhara yake kiafya kama yapo
Nimeweka na kielelezo
Dominika njema
Watu na ubunifu wao!
Ubuyu huwezi kuutengenezea kahawa,ubuyu ni ubuyu na kahawa ni kawahaWadau hamjamboni nyote?
Leo nimeona kahawa iliyotengenezwa na ubuyu rafiki yangu aliitumia
Ni mara ya kwanza kuona na nimeshangaa
Mwenye uzoefu atujuze ubora au madhara yake kiafya kama yapo
Nimeweka na kielelezo
Dominika njema
Kama coka ya Fanta etiUbuyu huwezi kuutengenezea kahawa,ubuyu ni ubuyu na kahawa ni kawaha