Mimi katika kuishi kwangu nilijua Waharifu ndo wanadukua Mitandao ya Kijamii kama Facebook, Instagram, twitter, Whatsapp nk, baada ya Mfanyabiashara maarufu wa Magari Jijini Dar Samweli Shammy kupasua jibu na kuweka wazi kinagaubaka jinsi alivyo dukuliwa nikashangaa sana.
Nimeshangaa kusikia Polisi wanadukua Account zetu za Mitandao ya Kijamii. Kwamba Mwanasiasa anaweza kumtuma Polisi adukue simu yako na Kufuta Ushahidi. Polisi hao hao wanaenda eti Benk wanachukua fedha za mtu kwa amri ya Mwanasiasa. Nimeshangaa sana.
Mfanyabiashara maarufu wa Magari Jijini Dar es Salaam, Samweli Shami maarufu Bilionea Shami, amedai kutishiwa maisha na watu aliodai ni vigogo wa polisi jijini humo na kulazimika kuyakimbia makazi yake kutoka dar akitumia usafiri wa pikipiki na kukimbilia jijini Arusha. Akiongea na vyombo vya...
www.jamiiforums.com
Hata hivyo Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amekanusha kata kata kwamba hajatumwa na Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa.
Hata hivyo Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amekanusha kata kata kwamba hajatumwa na Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa.
Mtoa thread, huyo ndugu yako ni mropokaji, karopoka. Hajadukuliwa chchte. Yaani umekaa unaona video mtandaoni umeichukua kwa akili zako timamu kabisa ukaamini huyu bwana WhatsApp yake ikaingiliwa. 🚮🚮. Gadamn.
Update shami ametakiwa alipe hela yote. Nadhani ameshamaliza malipo hadi sasa. Baada ya kukimbia kimbia kote.

Huyo bilionea wenu uchwarah alipe hela za watu
Asilete visingizio
Ohh mara kakimbilia Arusha kwa bodaboda,mtu unajijua siyo mhalifu,uko clean,hudaiwi na hao wahusika,unakimbia nn?
Bilionea unakosa ulinzi binafsi,Kama wa bilionea mwenzie mooh🤣🤣
Bilionea unashindwa kukodi chopa ya fasta ikupeleke huko unakoona ni salama,instead unakimbia na boda,
He angepata ajali huko chalinze na kufa,manake boda atakuwa aliendesha kwa spid kama zote,si wangesema wasiojulikana wamemuua?
Aache usanii na visingizio,madalali wengi Tz,sio professional na wengi ni matapel.
Documents za pande zote mbili zilifika polisi makao makuu, pande zote mbili zilienda kwenye usuluhisho. Matajiri wa mtwara walienda, shamy naye akaitwa. Akaleta janja janja. Au story zote hizi hujafatilia. Mahojiano ya kila siku