Bilionea unakosa ulinzi binafsi,Kama wa bilionea mwenzie mooh🤣🤣
Bilionea unashindwa kukodi chopa ya fasta ikupeleke huko unakoona ni salama,instead unakimbia na boda,
Kesi ya madai inaenda mahakamani kama kamati ya usuluhishi imeshindwa. Mwenyekiti wa mtaa, mjumbe au balozi, au mezani kwa polisi. Hawa walienda pale na haki imepatikana. Huko mahakamani shamy hakuweza kwenda. Ndio maana amelipa.
Hata mimi nimeshangaa sana inakuwaje hawa polisi wajihusishe Na mambo ya madai ya biashara? Suala la biashara mahakama zipo wadai wampeleke mdaiwa wao huko...
3:10 kwenye video Muliro anasema tungekuwa tunamhitaji kwa mabaya "asingejidhamini wala asingetoka polisi", Hapo mwandishi mwenye akili angeng'ata.
Waandishi wakibongo hawawezi kuuliza maswali au kuchambua. Infact Muliro kwa kauli hyo amekiri kwamba kumbe huwa sometimes wanawashikilia watu kwa nia ovu na kutowaachilia, sentensi hiyo ni Proof
3:10 kwenye video Muliro anasema tungekuwa tunamhitaji kwa mabaya "asingejidhamini wala asingetoka polisi"..
Hapo mwandishi mwenye akili angeng'ata..
Waandishi wakibongo hawawez kuuliza maswali au kuchambua.Infact Muliro kwa kauli hyo amekiri kwamba kumbe huwa sometimes wanawashikilia watu kwa nia ovu na kutowaachilia,sentensi hiyo ni Proof
Ukwelu ni kwamba Polisi na TISS wamekuwa wakifanya sana kazi hii haramu ya kuingilia mawasiliano ya watu (kudukua) isivyo halali. Hili halifichiki wala halipingiki. Sitaki kuelezea mambo mengi kuhusu suala hili, itoshe tu kusema kwamba waachane na utaratibu huu usiofaa.
Mimi katika kuishi kwangu nilijua Waharifu ndo wanadukua Mitandao ya Kijamii kama Facebook, Instagram, twitter, Whatsapp nk, baada ya Mfanyabiashara maarufu wa Magari Jijini Dar Samweli Shammy kupasua jibu na kuweka wazi kinagaubaka jinsi alivyo dukuliwa nikashangaa sana.
Nimeshangaa kusikia Polisi wanadukua Account zetu za Mitandao ya Kijamii. Kwamba Mwanasiasa anaweza kumtuma Polisi adukue simu yako na Kufuta Ushahidi. Polisi hao hao wanaenda eti Benk wanachukua fedha za mtu kwa amri ya Mwanasiasa. Nimeshangaa sana.
Mfanyabiashara maarufu wa Magari Jijini Dar es Salaam, Samweli Shami maarufu Bilionea Shami, amedai kutishiwa maisha na watu aliodai ni vigogo wa polisi jijini humo na kulazimika kuyakimbia makazi yake kutoka dar akitumia usafiri wa pikipiki na kukimbilia jijini Arusha. Akiongea na vyombo vya...
www.jamiiforums.com
Hata hivyo Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amekanusha kata kata kwamba hajatumwa na Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa. View attachment 2932416
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.