Nimeshangaa kusikia Polisi wanadukua Account zetu za Mitandao ya Kijamii

Bilionea unakosa ulinzi binafsi,Kama wa bilionea mwenzie mooh🤣🤣
Bilionea unashindwa kukodi chopa ya fasta ikupeleke huko unakoona ni salama,instead unakimbia na boda,
Bilionea Mo Ulinzi binafsi ulimsaidia?

Ndio maana jamaa amewa wahi ili ikitojea jambo dunia ijue.

Shami anajua hawawezi hao jamaa lakini angalau amejihani tu
 
Usuluhishi au Mahakamani?

Mtu anapokataa kulipa na huku jeshi linasema linafanya uchunguzi kwanini linahitimisha tu alipe alipe alipe.......
Kesi ya madai inaenda mahakamani kama kamati ya usuluhishi imeshindwa. Mwenyekiti wa mtaa, mjumbe au balozi, au mezani kwa polisi. Hawa walienda pale na haki imepatikana. Huko mahakamani shamy hakuweza kwenda. Ndio maana amelipa.
 
3:10 kwenye video Muliro anasema tungekuwa tunamhitaji kwa mabaya "asingejidhamini wala asingetoka polisi", Hapo mwandishi mwenye akili angeng'ata.

Waandishi wakibongo hawawezi kuuliza maswali au kuchambua. Infact Muliro kwa kauli hyo amekiri kwamba kumbe huwa sometimes wanawashikilia watu kwa nia ovu na kutowaachilia, sentensi hiyo ni Proof
 
Kumbe kuna wengine wanawashika kwa Ubaya.
 
Ukwelu ni kwamba Polisi na TISS wamekuwa wakifanya sana kazi hii haramu ya kuingilia mawasiliano ya watu (kudukua) isivyo halali. Hili halifichiki wala halipingiki. Sitaki kuelezea mambo mengi kuhusu suala hili, itoshe tu kusema kwamba waachane na utaratibu huu usiofaa.
 
Polisi wa division IV and division 0 kwenye matokeo ya kidatu cha nne wana uwezo huo ???
 
Sio jambo la kushangaza wanaweza fanya mambo ya ajabu kuliko hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…