Kufeli kidato Cha nne sio sababu. Mdogo wangu alirudia mtihan na hakufanya MAKOSA kidato Cha sita na chuoni. Kwahiyo usiangalie sana kidato Cha nne we angalia chuoni ilikuwaje?? Halafu sio LAZMA uwe na degree ndo ufanye makubwa... Steve job na billgate hawana degree lkn wamefanya makubwa sana Dunia hii