Lord have mercy 🤐Akiwa mkoani Mara Mgombea wa CCM Dkt John Magufuli kwenye uzinduzi wa kampeni katika mkoa huo Mgombea amesema kuwa "naskia kuna mtu anasema sijaongeza mshahara watumishi wa umma ,Watumishi wa umma nimewaongezea mshahara kimya kimya "
Aliendelea na kusema kuwa ukipandisha madaraja huongezi mishahara ,ukipunguza PAYE sio kuongeza mishahara...
Mkuu umechanganya vitu viwili mshahara (Basic Salary). Kushuka kwa PAYE hakuongezi mshahara, Bali inaongeza kiasi kinachobaki baada ya makato (take home). Hicho ndicho Rais alichosema.Mkuu inaonekana wewe hujasoma hesabu na hujui hesabu. Kitendo Cha kushusha thamani ya "PAYE" Kutoka 15% mpaka 9% lazima pesa itapanda na ukipandisha na mshahara utashukwa pia.
Mathematically; Makato ya mshahara (PAYE) is inversely proportional to the salary. So the decrease the paye the increase the salary.
Nakushasha PAYE nakupandisha makato ya loan board kunaongeza nini?.Mkuu umechanganya vitu viwili mshahara(Basic Salary). Kushuka kwa PAYE hakuongezi mshahara, Bali inaongeza kiasi kinachobaki baada ya makato(take home). Hicho ndicho Rais alichosema.
Tunaendeleanamagufuli202-2025
Nasikia aliongeza shs 3000/= iweje mseme hajaongeza hiyo Kwan si nyongezaWafanya kazi japokuwa ni wachache ukilinganisha na Wapiga kura wengine lakini wanaweza kumfanya mbaya Magufuli tarehe 28 Octoba
DuuuMkuu umechanganya vitu viwili mshahara(Basic Salary). Kushuka kwa PAYE hakuongezi mshahara, Bali inaongeza kiasi kinachobaki baada ya makato(take home). Hicho ndicho Rais alichosema.
Tunaendeleanamagufuli202-2025