GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yaani Mwanafunzi aliyekuwa wa Kwanza pamoja na Mwenzake wa Pili katika Darasa Wao wala hawana Shobo na Mbwembwe ila yule aliyeshika Nafasi ya Tatu ndiyo anasumbua Darasani kiasi kwamba Walimu wanajiuliza hivi ingetoa Yeye ndiyo kawa wa Kwanza au wa Pili si angeshangilia Shule nzima na pengine hata Kuukweka ( Kunya ) kabisa hadharani?
Nadhani tungefanya Maandalizi ya kimya na taratibu ingependeza sana kwa Darasa jipya la Mwaka mpya Kitaaluma.
Nadhani tungefanya Maandalizi ya kimya na taratibu ingependeza sana kwa Darasa jipya la Mwaka mpya Kitaaluma.