GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Inawezakana uwezo wake ilikuwa ni kushika nafasi ya 9 lakini kawa wa 3.Yaani Mwanafunzi aliyekuwa wa Kwanza pamoja na Mwenzake wa Pili katika Darasa Wao wala hawana Shobo na Mbwembwe ila yule aliyeshika Nafasi ya Tatu ndiyo anasumbua Darasani kiasi kwamba Walimu wanajiuliza hivi ingetoa Yeye ndiyo kawa wa Kwanza au wa Pili si angeshangilia Shule nzima na pengine hata Kuukweka ( Kunya ) kabisa hadharani?
Nadhani tungefanya Maandalizi ya kimya na taratibu ingependeza sana kwa Darasa jipya la Mwaka mpya Kitaaluma.
Nimecheka mpaka basi Mkuu.Inawezakana uwezo wake ilikuwa ni kushika nafasi ya 9 lakini kawa wa 3.
Kwa hizi Mbwembwe za Kishamba ambazo naziona naona ni ile ile tu ya 3 na tukifanya Mzaha hata ya 4 itawahusu pia.Ngoja TUONE mhula huu anashika nafasi ya ngapi darasan
Ukweli mtupu.Yaani Mwanafunzi aliyekuwa wa Kwanza pamoja na Mwenzake wa Pili katika Darasa Wao wala hawana Shobo na Mbwembwe ila yule aliyeshika Nafasi ya Tatu ndiyo anasumbua Darasani kiasi kwamba Walimu wanajiuliza hivi ingetoa Yeye ndiyo kawa wa Kwanza au wa Pili si angeshangilia Shule nzima na pengine hata Kuukweka ( Kunya ) kabisa hadharani?
Nadhani tungefanya Maandalizi ya kimya na taratibu ingependeza sana kwa Darasa jipya la Mwaka mpya Kitaaluma.
Kwamba nawe ni Aunt au kwani Aunt humjua Aunt Mwenzake.Ila we nawe sometimes unakuwaga Aunt Abuu. Hivi hiyo klabu unaoisema imefanya mbwembwe gani? Kwenda pre-season kwa Farao?
Tutaanza kumpima kwanza kwenye mtihani wa mock TRH 8, kabla ajaenda kwenye mitihani ya taifa ndio tutaona yaliyomo Kama yamo!Yaani Mwanafunzi aliyekuwa wa Kwanza pamoja na Mwenzake wa Pili katika Darasa Wao wala hawana Shobo na Mbwembwe ila yule aliyeshika Nafasi ya Tatu ndiyo anasumbua Darasani kiasi kwamba Walimu wanajiuliza hivi ingetoa Yeye ndiyo kawa wa Kwanza au wa Pili si angeshangilia Shule nzima na pengine hata Kuukweka ( Kunya ) kabisa hadharani?
Nadhani tungefanya Maandalizi ya kimya na taratibu ingependeza sana kwa Darasa jipya la Mwaka mpya Kitaaluma.