aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 5,175
- 16,488
Siku ya leo nimepigwa na butwaa sana baada ya binti mwenye umri wa miaka 16 kuniambia kuwa
"NYIE WANAUME NI WAONGO"
"MNAPENDA TU KUTUCHEZEA WANAWAKE"
"MIMI MAISHA YANGU YOTE SITAKUWA NA MWANAUME TENA".
Sasa nikabaki tu najichekea mwenyewe,
sasa wewe una miaka 16, halafu unasema hutakuwa na mwaume maisha yako yote?
Hiyo nini maana yake wakuu?