Nimeshangaa sana binti wa miaka 16 kuniambia haya!

Nimeshangaa sana binti wa miaka 16 kuniambia haya!

Siku ya leo nimepigwa na butwaa sana baada ya binti mwenye umri wa miaka 16 kuniambia kuwa

"NYIE WANAUME NI WAONGO"
"MNAPENDA TU KUTUCHEZEA WANAWAKE"

"MIMI MAISHA YANGU YOTE SITAKUWA NA MWANAUME TENA".

Sasa nikabaki tu najichekea mwenyewe,
sasa wewe una miaka 16, halafu unasema hutakuwa na mwaume maisha yako yote?
Hiyo nini maana yake wakuu?
Mlianzia wapi mpaka mkafikia hapo?! Yaonekana ulianza kutupia ndogo ndogo mkuu kwa binti wa miaka 16 hahaha...
 
Siku ya leo nimepigwa na butwaa sana baada ya binti mwenye umri wa miaka 16 kuniambia kuwa

"NYIE WANAUME NI WAONGO"
"MNAPENDA TU KUTUCHEZEA WANAWAKE"

"MIMI MAISHA YANGU YOTE SITAKUWA NA MWANAUME TENA".

Sasa nikabaki tu najichekea mwenyewe,
sasa wewe una miaka 16, halafu unasema hutakuwa na mwaume maisha yako yote?
Hiyo nini maana yake wakuu?
Ameshatendwa tyr ktk umri mdogo hivyo!!??
 
baada ya mda atakuja kukwambia niliona hauko serious ndo maana nkakujibu vile ili kukukatisha tamaa

kwa uyo wa miaka 16 wamtaka nini.... uwe makini utaishia kulala jela
 
Siku ya leo nimepigwa na butwaa sana baada ya binti mwenye umri wa miaka 16 kuniambia kuwa

"NYIE WANAUME NI WAONGO"
"MNAPENDA TU KUTUCHEZEA WANAWAKE"

"MIMI MAISHA YANGU YOTE SITAKUWA NA MWANAUME TENA".

Sasa nikabaki tu najichekea mwenyewe,
sasa wewe una miaka 16, halafu unasema hutakuwa na mwaume maisha yako yote?
Hiyo nini maana yake wakuu?
Hivi matokeo yenu ya form 2 bado hayajatoka tu?
 
Vingi ni vihuni sana. Sitasahau miaka kadhaa huko nyuma siku nimeenda night club, Nikamuona Binti tall karembo nikakaimbisha nyimbo kaka elewa mziki ile badae mida ya wanga tukaenda kupiga mazoezi si asubuhi kananiambia kanasoma chuo flani na kana 18 yrs, nilisikitika sana ilibidi tu, nikaambie wahi ondoka na siktafta Tena
 
Mkuu unaatongoza mpaka watot ngoja like likushukie rungu la 30 years ndio utajua hujui...
 
Siku ya leo nimepigwa na butwaa sana baada ya binti mwenye umri wa miaka 16 kuniambia kuwa

"NYIE WANAUME NI WAONGO"
"MNAPENDA TU KUTUCHEZEA WANAWAKE"

"MIMI MAISHA YANGU YOTE SITAKUWA NA MWANAUME TENA".

Sasa nikabaki tu najichekea mwenyewe,
sasa wewe una miaka 16, halafu unasema hutakuwa na mwaume maisha yako yote?
Hiyo nini maana yake wakuu?
Akasema ,Mimi maisha yangu yote sitakuwa na mwanaume TENA.Ina maana majamaa kibao yameisha tindua Sana tu.Nyie wanaume ni waongo,mnapenda kutuchezea.Ina maana majamaa yameisha mchezea na anakuona na Wewe unamwangalua kwa JICHO la kutaka kumchezea.kwa vyovyote utakuwa umemuomba yaani umetangaza njaa,haiwezekani aanze tu kukwambia hivyo bila wewe kumchikoza.Ny way,kwa hapo kazi yako ni Nyepesi,una rebute hiyo pressumption yake basi.
 
Back
Top Bottom