Ulikaambia nini hako katoto mpaka kakauona na wewe ni muongo?Siku ya leo nimepigwa na butwaa sana baada ya binti mwenye umri wa miaka 16 kuniambia kuwa
"NYIE WANAUME NI WAONGO"
"MNAPENDA TU KUTUCHEZEA WANAWAKE"
"MIMI MAISHA YANGU YOTE SITAKUWA NA MWANAUME TENA".
Sasa nikabaki tu najichekea mwenyewe,
sasa wewe una miaka 16, halafu unasema hutakuwa na mwaume maisha yako yote?
Hiyo nini maana yake wakuu?
Ukiona hivyo kashatongozwa sanaSiku ya leo nimepigwa na butwaa sana baada ya binti mwenye umri wa miaka 16 kuniambia kuwa
"NYIE WANAUME NI WAONGO"
"MNAPENDA TU KUTUCHEZEA WANAWAKE"
"MIMI MAISHA YANGU YOTE SITAKUWA NA MWANAUME TENA".
Sasa nikabaki tu najichekea mwenyewe,
sasa wewe una miaka 16, halafu unasema hutakuwa na mwaume maisha yako yote?
Hiyo nini maana yake wakuu?
Wewe ulikuwa umemuomba nini mtoto msichana wa miaka 16?.😳🤔Siku ya leo nimepigwa na butwaa sana baada ya binti mwenye umri wa miaka 16 kuniambia kuwa
"NYIE WANAUME NI WAONGO"
"MNAPENDA TU KUTUCHEZEA WANAWAKE"
"MIMI MAISHA YANGU YOTE SITAKUWA NA MWANAUME TENA".
Sasa nikabaki tu najichekea mwenyewe,
sasa wewe una miaka 16, halafu unasema hutakuwa na mwaume maisha yako yote?
Hiyo nini maana yake wakuu?
Acha kutingoza watoto mbona wanawake ni wengi sanaSiku ya leo nimepigwa na butwaa sana baada ya binti mwenye umri wa miaka 16 kuniambia kuwa
"NYIE WANAUME NI WAONGO"
"MNAPENDA TU KUTUCHEZEA WANAWAKE"
"MIMI MAISHA YANGU YOTE SITAKUWA NA MWANAUME TENA".
Sasa nikabaki tu najichekea mwenyewe,
sasa wewe una miaka 16, halafu unasema hutakuwa na mwaume maisha yako yote?
Hiyo nini maana yake wakuu?
Uzunguni kwa washua miaka mingapi?.16 mbn kwa uswaz anajua mambo yote
Ova