Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Humu nimesoma post nyingi za wanaume wanatafuta wanawake wakuishi nao sasa vigezo vinafurahisha.
1. Eti awe na chuchu zimesimama . Sasa mnawazalisha watoto wadogo hadi tigo mnawaomba sasa mnadhani sasa nani anamaziwa kama hayo .
Mababa wengine wanawafukunyua watoto wawatu hadi maziwa yanakuwa ndala . Halafu mmechoka kuwachezea mnakuja kwa ngozi yakondoo natafuta mke . Yupi sasa mana hata kama hana mtoto kachoka kila idara. Anasubiri kuolewa kwa bahati .
2. Jingine eti awe mcha mungu
Unamtolea wapi mcha mungu na huku wengi mmewatelekeza wapo kwa waganga wanatafuta dawa zakuwawekea.mtoe hela za matumizi.
Nawaolewe.
3. Eti awe anaelimu atleast form four hapo mnawapata wapi wanafunzi wanamna hiyo na huku mnawawinda mnawapa viepe , shopping ndogo mdogo mnawaambia usiende kwenye somo hili unampeleka guest unaanza kumuimbisha sukari ya zuchu, au honey ,honey huku unamuharibu kila mahali atasoma saangapi hata amalize hiyo form four msivyo na huruma unamfuata mtu unayemaisha magumu unamuacha na mimba hajui afanyaje mnaroho mbaya . Mkifanya kitu kuweni na akili basi.
4. Umri asizidi 30 . Sasa wa 30 hafadhali maana hata wanajielewa wale wote wengine wapi busy bado kudanganywa na nyie msio namuelekeo na vijitambi vyenu mmepauka hamlali kusaka nyota za vitoto vya watu.
wanaume mmewaharibu wasichana sana kweli. Mnawarubuni na visoda vya hapa napale . Tulieni oeni .
Maisha ni haya haya hata baba zenu walikuwa wanasota kulisha familia
La.mwisho kama upo humu unadangia wanawake au unasumbua watoto wakike wasisome na kausafari kaserikali acha unawapoteza wamama wa baadae . Unamke tulia naye acha umalaya.
Hauna dili PIMA VVU ISHI