Nimeshangaa sana hili sana

Nimeshangaa sana hili sana

Kwanza kabisa nimshukuru mkuu wa mkoa wa Daslamu kwa kukomesha umalaya, uchangudoa katika mkoa wetu. Sasa hivi waliokua Malaya kipindi huyu mwamba hajaja mjini Sasa hivi wanalia na kusaga meno. Kila mwanaume wa Dar kwa Sasa ana mke wake anapata huduma usiku kucha. Nikija kwenye mada ya Unique Flower, Mimi mwanamke hata awe na ndala au flat screen, as long as hajawahi kuliwa tigo huko nyumba, Mimi kwangu Ni wait material.
 
alie wahi kuliwa tigo... ana nini mbona kama unamfokea na kumuona hafai...!
 
Nilikuwa sina la kusema ila hapo mwishoni gari za serikali

Madereva wa serikali mna moto wenu peke yenu dadeq
 
Kuna vitu ukikuta watu wanavilalamikia kama sio mhusika unaweza shusha lawama zote kwa anaye lalamikiwa kumbe mda mwingine ata wala hausiki masikini.

Sio kweli kuwa mara zote wanaume ndio tunawarubuni mabinti/watoto wa kike, siku hizi sio jambo la kushangaza kukuta mwanaume/kijana anashawishiwa na kabinti kufanya ngono. Hii yote ni matokeo ya sisi wazazi kufeli sehemu flani katika malezi.
NB: zingatia neno "mda mwingine"
 
Tafutaneni peaneni vigezo oaneni mwisho wa siku maisha lazima yaende
 
Sasa ndio mngojee hadi 30 ifike ndio mtake tuwaoe, yaani mnaooooonjwa huko halafu kula tuje kula sisi.

Wewe unaweza kula chakula makombo halafu ulipie gharama kama mnunuzi wa chakula cha kawaida.
 
Back
Top Bottom