Nimeshangaa sana hili sana

Aya wanaume mnaosoma huu uzi hebu badilikeni basi maana ukatili wote unaanzia kwenu, kuwafanya mashoga, kununua malaya.
Leo unafanya kwa siri unajiamini ni siri yako lakini amini nakwambia Mungu adanganyiki ipo siku yako ikifika utaumbuka angalia ni watu wako wangapi wanaokuamini utakuwa umewaumiza..
Inauma sana!
 
Na Wewe ni Muhanga wa haya ? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Wacha Dunia iendelee kuzunguka ikamilishe mzunguko wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…