aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 5,175
- 16,488
Nilikuwa Dege Kigamboni siku ya leo. Nimeshangaa sana baada ya kuona majumba makubwa sana ya ghorofa, majumba kama utitiri.
Baada ya kuuliza nikaambiwa ni mradi unaitwa Dege Eco Village. Kwa haraka haraka tunaweza kusema ni kama Kariakoo au hata zaidi.
Nakosa hata ya kuandika maana bado nashangaa.
Hela zimelala pale matrioni nadhani.