luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Mbona hakuna cha ajabu coz zile pesa ni za mwanachama + mwajiri wake kwahiyo wanachukua fao lao la kusitisha mkataba na sio fao la kustaafu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanafosi na barua ila still mweka hazina wa taifa haishi kupiga chenga za mwili 😂😂😂 kuna ndugu yangu aliishia kusumbuliwa tu akaona atulie. Kipengele si wamekitengeneza kionekane mpaka miaka 55 ndio unaruhusiwa kuchukua hela.Kwani mafao, bado yanatolewa, si kuna tamko Hadi mtu afikishe miaka 60.Ama Mimi nimelala usingizini bado?
Huamini ila ukiajiriwa lazima hao jamaa wakate chao kwa lazima sio ombi. Kwa sasa hio ni kama kodi sio tena hazina sababu hurudishiwi hadi uanze kuugua visukari 🤣🤣🤣 wakat ambao hutafanya lolote zaidi ya kujiuguza tu.Mi siamini kwenye kutunziwa hela zangu na mtu ni udhaifu mkubwa unatunziwa then unasota kuzipata
Mzee wangu alipigishwa round mwisho akadumbukia kwa boss kibabe, vijana walimtia sound za kutosha sana 🤣🤣🤣 ila boss aka process mzigo chap!wazee wamejikatia tamaa wamebaki manyumbani kwao baada ya kuzungushwa mno hapo NSSF.
Omba kibarua kisije kikaisha ghafla kabla hujafika 60 yrsNaomba yasinipate haya[emoji848]
Hao ndio wale wanaingizwaga job kwa kutiwa na ma HR! Nyodo kibao kumbe kalitiwa kuanzia kapo field kakaingizwa kama ajira za ndani. Watu kama hao kwenye chekeche ya ajira portal hawatoboiNapendaga sana wadada wenye dharau, mara nyingi huna naishia kuwala kiulainii... Mvumilie halafu tafuta weakness zake mkuu..
Hii mi pisi ya nguvu, nyama choma na beer utakua unaviona na macho tu Kama kisukari hakijakupofuaHuamini ila ukiajiriwa lazma hao jamaa wakate chao kwa lazima sio ombi. Kwa sasa hio ni kama kodi sio tena hazina sababu hurudishiwi hadi uanze kuugua visukari 🤣🤣🤣 wakat ambao hutafanya lolote zaidi ya kujiuguza tu.
Acha tu mkuu. Kisukari nomaHii mi pisi ya nguvu, nyama choma na beer utakua unaviona na macho tu Kama kisukari hakijakupofua
Wamenilipa tayari mkuu.Mwenyewe umekiri kadi ya CCM hujapeleka.
Aidha upeleke kadi ya CCM au gharama ya hiyo kadi ili wakuchukulie kwenye tawi lao kwa kukusaidia. Gharama ya hizi kadi adimu kwenye tawi lao Ni Kati ya sh ishirini na hamsini kutegemea na usumbufu.
Nakuja pm kukuambia kitu Cha maana sana. Mimi na wewe Ni kitu kimoja.Wamenilipa tayari mkuu.
Sikukuu sasa itaenda vizuri
Kaka. Hiyo kwenda tu fizikali Ni shida itakua mtandaoni?Kwa nini madai ya mafao hayafanyiki mtandaoni na kwenda huko maofisini iwe ni pale ambapo inalazimu tu?