Nimeshangaa sana NSSF, asilimia kubwa wanaodai mafao ni vijana na si wazee kama ilivyokuwa zamani

Nimeshangaa sana NSSF, asilimia kubwa wanaodai mafao ni vijana na si wazee kama ilivyokuwa zamani

Mbona hakuna cha ajabu coz zile pesa ni za mwanachama + mwajiri wake kwahiyo wanachukua fao lao la kusitisha mkataba na sio fao la kustaafu
 
Kwani mafao, bado yanatolewa, si kuna tamko Hadi mtu afikishe miaka 60.Ama Mimi nimelala usingizini bado?
Watu wanafosi na barua ila still mweka hazina wa taifa haishi kupiga chenga za mwili 😂😂😂 kuna ndugu yangu aliishia kusumbuliwa tu akaona atulie. Kipengele si wamekitengeneza kionekane mpaka miaka 55 ndio unaruhusiwa kuchukua hela.
 
Mi siamini kwenye kutunziwa hela zangu na mtu ni udhaifu mkubwa unatunziwa then unasota kuzipata
Huamini ila ukiajiriwa lazima hao jamaa wakate chao kwa lazima sio ombi. Kwa sasa hio ni kama kodi sio tena hazina sababu hurudishiwi hadi uanze kuugua visukari 🤣🤣🤣 wakat ambao hutafanya lolote zaidi ya kujiuguza tu.
 
Napendaga sana wadada wenye dharau, mara nyingi huna naishia kuwala kiulainii... Mvumilie halafu tafuta weakness zake mkuu..
Hao ndio wale wanaingizwaga job kwa kutiwa na ma HR! Nyodo kibao kumbe kalitiwa kuanzia kapo field kakaingizwa kama ajira za ndani. Watu kama hao kwenye chekeche ya ajira portal hawatoboi
 
Huamini ila ukiajiriwa lazma hao jamaa wakate chao kwa lazima sio ombi. Kwa sasa hio ni kama kodi sio tena hazina sababu hurudishiwi hadi uanze kuugua visukari 🤣🤣🤣 wakat ambao hutafanya lolote zaidi ya kujiuguza tu.
Hii mi pisi ya nguvu, nyama choma na beer utakua unaviona na macho tu Kama kisukari hakijakupofua
 
Mwenyewe umekiri kadi ya CCM hujapeleka.
Aidha upeleke kadi ya CCM au gharama ya hiyo kadi ili wakuchukulie kwenye tawi lao kwa kukusaidia. Gharama ya hizi kadi adimu kwenye tawi lao Ni Kati ya sh ishirini na hamsini kutegemea na usumbufu.
Wamenilipa tayari mkuu.
Sikukuu sasa itaenda vizuri
 
Wamenilipa tayari mkuu.
Sikukuu sasa itaenda vizuri
Nakuja pm kukuambia kitu Cha maana sana. Mimi na wewe Ni kitu kimoja.
Ama nasema uwongo ndugu zangu?
Na huo ndio ukweli wenyewe
 
Kwa nini madai ya mafao hayafanyiki mtandaoni na kwenda huko maofisini iwe ni pale ambapo inalazimu tu?
 
Kwa nini madai ya mafao hayafanyiki mtandaoni na kwenda huko maofisini iwe ni pale ambapo inalazimu tu?
Kaka. Hiyo kwenda tu fizikali Ni shida itakua mtandaoni?
La pili sijui Kama NSSF Kuna wenye elimu ya kuweza kuelewa. Nadhani pale wanaajiri darasa la Saba au fomfoo divisheni foo.
Wenye elimu zao halali sidhani Kama wapo NSSF. Sio kwa utendaji ule.
 
Kuna kipindi wakubwa wa NSSF walifanya mkutano kutumia hela za umma na wakaamua mstaafu aki lodge claim alipwe ndani ya siku tatu.
Kuna mzee mmoja alilodge tarehe 4/12/20 mpaka leo hii 26/01/21 anaendelea kupigwa kalenda.
Kama Kuna mtu wa NSSF humu anaedhani Ni majungu aje nimpe dtls akacheki. Lile shirika linakoelekea sio kuzuri.
Kila uchao NSSF inazidi kuwa takataka
 
Back
Top Bottom