njoo kwetu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 801
- 1,795
Wana JF,
Vipi, samahani nimeshangazwa na utaratibu wa Chuo cha MUM Morogoro kwamba lectures zinaendelea Jumamosi na Jumapili, kiufupi hamna siku free.
Hii imekaa vipi kitaaluma?
Sawa lakini mtaala wa elimu kuanzia Shule na msing sekondar siku za weekend zina julikana hata ofisi za serikali zinajua kuna jumapili kwa ajil ya wakristu na jmos kwa ajili ya wasabatoKupumzika j.mosi na j.2 sio sheria ya nchi ila ni taratibu za nchi....
Mapumziko ni makubaliano yako wewe na mwajili wako....
Sent using Jamii Forums mobile app
TCU hawakitambui hiki chuo so hawawezi kukifunga.Wajitathimini kivipi labda?.
Maana nijuavyo round ya kwanza vimefungwa vyuo kibao hawakuwahi,
Na hivi karibuni vimefungwa vyuo kibao,hawakuwamo..
Unataka kusema wakaguzi hawakuoni chuo ama?
Wana JF,
Vipi, samahani nimeshangazwa na utaratibu wa Chuo cha MUM Morogoro kwamba lectures zinaendelea Jumamosi na Jumapili, kiufupi hamna siku free.
Hii imekaa vipi kitaaluma?
Ina maana phd zote Tanzania zinachapa politiki. Tatizo kubwa hili.kUna upungufu wa wakufunzi almost kama hawana,so kwa siku za weekend ndio wanapatikana wakufunzi wa part time n that's why ratiba iko hivyo.
Vyuo haviko kwasababu za kidini,,Kuna vyuo vingi vya taasisi za kikristo zinapokea waislamu provided wanalipa karo,,sio lazima kila dini I we na chuo kwani vyuo vya taasisi za kikristo zinafundisha injili au masomo ya kawaida?.Kilistahili kufutiwa usajili hakina sifa. Waislam wajitathmini Kwa idadi waliopo Tanzanzia Ilibidi wawe na vyuo Bora Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa lakini mtaala wa elimu kuanzia Shule na msing sekondar siku za weekend zina julikana hata ofisi za serikali zinajua kuna jumapili kwa ajil ya wakristu na jmos kwa ajili ya wasabato
makwambia pale masharti kama yote kuanzia mavazi,tabia ukinyoa hovyo hufanyi presentation wala mtihaniMdogo wangu kwa mamkubwa walitaka kumsomesha kule diploma mwaka jana. Nilikuwa sipendi kusikia kabisa wanataja uwezekano huo. Bahati nzuri wakaelewa ushauri akaenda SAUT. Alikuwa na ufaulu mzuri na sasa anafanya vizuri kabisa.
Shida sio masharti kwa sana, hayo waislamu wenye kufuata sheria kali wangeenda. Shida ni kiwango cha elimu kinachotolewa pale kina walakini.makwambia pale masharti kama yote kuanzia mavazi,tabia ukinyoa hovyo hufanyi presentation wala mtihani
Oman, Iran au Iraq kumalizia PHD in Terrorismhao graduates wanaenda wapi siwaoni makazini huku
kwa kwel graduates wake siwaoni maofisini huku
Usiongee usiyo na uhakika nayo kisa udini tu na chuki zakokwa kwel graduates wake siwaoni maofisini huku
Useless punk.naona chuo chenyewe Maghumashi! Majengo walipewa bure, mpaka leo akuna uboreshaji wala upanuzi wa uhakika wa hicho chuo, wanafunzi wanaishi mitaani Nawaonea huruma sana hasa wasichana why awajengi hostel?
Na Wakati ada wanalipwa mabilioni na board ya mikopo?.mwaka wa kumi na kitu sasa toka chuo kianzishwe awana ata tawi kwenye mkoa wowote zaidi ya hiyo main campus ya Tanesco Morogoro! ukiwaambia ukweli watakuambia Mfumo Kristo,mtu ansomea Islamic Law hapa Tanzania alafu analalamika eti ajira akuna.
ACHA KUROPOKA HAKUNA ISLAMIC LAW PALE.naona chuo chenyewe Maghumashi! Majengo walipewa bure, mpaka leo akuna uboreshaji wala upanuzi wa uhakika wa hicho chuo, wanafunzi wanaishi mitaani Nawaonea huruma sana hasa wasichana why awajengi hostel?
Na Wakati ada wanalipwa mabilioni na board ya mikopo?.mwaka wa kumi na kitu sasa toka chuo kianzishwe awana ata tawi kwenye mkoa wowote zaidi ya hiyo main campus ya Tanesco Morogoro! ukiwaambia ukweli watakuambia Mfumo Kristo,mtu ansomea Islamic Law hapa Tanzania alafu analalamika eti ajira akuna.