Vyuo haviko kwasababu za kidini,,Kuna vyuo vingi vya taasisi za kikristo zinapokea waislamu provided wanalipa karo,,sio lazima kila dini I we na chuo kwani vyuo vya taasisi za kikristo zinafundisha injili au masomo ya kawaida?.
Au hivyo vyuo vizuri vya kikristo huwa vinatoa gawio kila mwaka la mapato yake kwenye Kaya za wakristo?.
Sioni logic ya wewe kuhimiza eti waislamu wawe na vyuo vizuri Kama wakristo,
Vyuo magumashi vinafungiwa kila siku na Kuna vingi tu vya St barbanas lakini hakuna mtu anahusishwa na udini,