mosabiy
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 2,521
- 1,927
Hivi unashindwa kuingia mtandaoni kutafuta ukweli. Unafikiri kipo chini ya Bakwata au TIF?hawa MUM nilisikia hawako chini ya tcu, sijui wanasimamiwa ubora wao na baraza la vyuo vikuu la Iwapi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi unashindwa kuingia mtandaoni kutafuta ukweli. Unafikiri kipo chini ya Bakwata au TIF?hawa MUM nilisikia hawako chini ya tcu, sijui wanasimamiwa ubora wao na baraza la vyuo vikuu la Iwapi.
Du unaleta ya primary tena hapa wakati hapo ni chuo.Sawa lakini mtaala wa elimu kuanzia Shule na msing sekondar siku za weekend zina julikana hata ofisi za serikali zinajua kuna jumapili kwa ajil ya wakristu na jmos kwa ajili ya wasabato
Waliojazana kipi cha maana wanafanya?Usiongee usiyo na uhakika nayo kisa udini tu na chuki zako
Una hakika au unalopoka tu? Wangepewa mkopo na HESBL?
KINGEFUNGIWA KAMA VILIVYOFUNGIWA SAINT KUNANI HUKO.Shida sio masharti kwa sana, hayo waislamu wenye kufuata sheria kali wangeenda. Shida ni kiwango cha elimu kinachotolewa pale kina walakini.
Kwanini upoteze pesa yako hapo?Yahh nadhan quantity ndo inatolewa ingekua quality kwenye soko la ajira wangekua favoured sana
Hichi ni miongini mwa vyuo bora Tz ndio maana hakikufungwa na TCU.Kilistahili kufutiwa usajili hakina sifa. Waislam wajitathmini Kwa idadi waliopo Tanzanzia Ilibidi wawe na vyuo Bora Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiboga huyo hajielewiWajitathimini kivipi labda?.
Maana nijuavyo round ya kwanza vimefungwa vyuo kibao hawakuwahi,
Na hivi karibuni vimefungwa vyuo kibao,hawakuwamo. kUnataka kusema wakaguzi hawakuoni chuo ama?
Law na Shariah🤫 hizi shule za kata da ! Pole sanaACHA KUROPOKA HAKUNA ISLAMIC LAW PALE.
KUNA LAW AND SHARIAH
Asante wewe uliyesoma Tanganyika International School sasa hivi uko Cambridge UniversityLaw na Shariah🤫 hizi shule za kata da ! Pole sana
Unafikiria mimi nimesoma na vidumu na fagio mkononi??😁Asante wewe uliyesoma Tanganyika International School sasa hivi uko Cambridge University
Ila pole kwa uzwazwa.
Law -hapa inadili na sheria za mahakama za kawaidi mfano mahakama ya mwanzo kuu na ya rufaa
Shariah hapa inadili na sheria za kiislam mfano mahakama ya Kadhi
Kwa hiyo umeanzisha uzi kujifanya unauliza wakati una yako kichwani.kwa kweli hakina status
Sawa lakini mtaala wa elimu kuanzia Shule na msing sekondar siku za weekend zina julikana hata ofisi za serikali zinajua kuna jumapili kwa ajil ya wakristu na jmos kwa ajili ya wasabato
Kwa hiyo umeanzisha uzi kujifanya unauliza wakati una yako kichwani.
Hii ni tabia yakinafiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha.kwa kwel graduates wake siwaoni maofisini huku
Tafadhali usitufanyie hivo wauza nyanya mkuu..Nipo IFM na tuna test hadi jumamosi na jumapili...
Ila hatulalamiki tunakomaa wewe nani hadi ulalamike...?.
Shabhash😠😠 Hupendi kusoma acha chuo kauze nyanya🍅.
2010-2013 UDOM tulikua tunachapwa sana hizo vitu. Ni kawaida saana hiyo.Tafadhali usitufanyie hivo wauza nyanya mkuu..
Wamezoea vya bure na kulalama Hawa vision Wala missionnaona chuo chenyewe Maghumashi! Majengo walipewa bure, mpaka leo akuna uboreshaji wala upanuzi wa uhakika wa hicho chuo, wanafunzi wanaishi mitaani Nawaonea huruma sana hasa wasichana why awajengi hostel?
Na Wakati ada wanalipwa mabilioni na board ya mikopo?.mwaka wa kumi na kitu sasa toka chuo kianzishwe awana ata tawi kwenye mkoa wowote zaidi ya hiyo main campus ya Tanesco Morogoro! ukiwaambia ukweli watakuambia Mfumo Kristo,mtu ansomea Islamic Law hapa Tanzania alafu analalamika eti ajira akuna.