Nimeshangazwa kusikia Chuo cha MUM (Muslim University of Morogoro) hakina weekend, hii imekaaje?

Nimeshangazwa kusikia Chuo cha MUM (Muslim University of Morogoro) hakina weekend, hii imekaaje?

hawa MUM nilisikia hawako chini ya tcu, sijui wanasimamiwa ubora wao na baraza la vyuo vikuu la Iwapi.
Hivi unashindwa kuingia mtandaoni kutafuta ukweli. Unafikiri kipo chini ya Bakwata au TIF?
 
Sawa lakini mtaala wa elimu kuanzia Shule na msing sekondar siku za weekend zina julikana hata ofisi za serikali zinajua kuna jumapili kwa ajil ya wakristu na jmos kwa ajili ya wasabato
Du unaleta ya primary tena hapa wakati hapo ni chuo.
 
Shida sio masharti kwa sana, hayo waislamu wenye kufuata sheria kali wangeenda. Shida ni kiwango cha elimu kinachotolewa pale kina walakini.
KINGEFUNGIWA KAMA VILIVYOFUNGIWA SAINT KUNANI HUKO.
 
Kilistahili kufutiwa usajili hakina sifa. Waislam wajitathmini Kwa idadi waliopo Tanzanzia Ilibidi wawe na vyuo Bora Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hichi ni miongini mwa vyuo bora Tz ndio maana hakikufungwa na TCU.
Vipi nyie vyuo vyenu bora vimelisaidia nini Taifa?
 
Law na Shariah🤫 hizi shule za kata da ! Pole sana
Asante wewe uliyesoma Tanganyika International School sasa hivi uko Cambridge University
Ila pole kwa uzwazwa.
Law -hapa inadili na sheria za mahakama za kawaidi mfano mahakama ya mwanzo kuu na ya rufaa
Shariah hapa inadili na sheria za kiislam mfano mahakama ya Kadhi
 
Unafikiria mimi nimesoma na vidumu na fagio mkononi??😁
Kwa kukusaidia O Level nimesoma MAUA Seminary! Chuo chenu kipo kiujima sana uwo ndo ukweli na kimedumaa akina maendeleo wala akikui
 
Unafikiria mimi nimesoma na vidumu na fagio mkononi??😁
Kwa kukusaidia O Level nimesoma MAUA Seminary! Chuo chenu kipo kiujima sana uwo ndo ukweli na kimedumaa akina maendeleo wala akikui
kwa kweli hakina status
 
Sawa lakini mtaala wa elimu kuanzia Shule na msing sekondar siku za weekend zina julikana hata ofisi za serikali zinajua kuna jumapili kwa ajil ya wakristu na jmos kwa ajili ya wasabato

Kijana acha upotoshaji, nchi yetu Tanzania haiendeshwi kidini, hizo siku za jumamosi na jumapili ziliwekwa kwa ajili ya mapumziko tu. Jumapili ilirithiwa toka mkoloni na jumamosi iliwekwa na rais wa awamu ya pili Mzee Ally Hassan Mwinyi (naruhusu kukosolewa)

Kama kweli wewe ni mkristo dini inakutaka kusali kila siku siyo kusubiri jumapili tu. Tunaoenda kanisani jumapili huwa ni matokeo ya kupumzika lakini siyo kweli kwamba serikali ilipanga siku hizo kwa sababu za kidini.

Nakushauri heshimu dini za wengine ili amani iendelee kutawala. Kuhusu MUM matatizo yao watayamaliza wenyewe. Kumbuka kuwa mapungufu ni sehemu ya ubinadamu hata wewe na mimi tuna mapungufu.
 
naona chuo chenyewe Maghumashi! Majengo walipewa bure, mpaka leo akuna uboreshaji wala upanuzi wa uhakika wa hicho chuo, wanafunzi wanaishi mitaani Nawaonea huruma sana hasa wasichana why awajengi hostel?

Na Wakati ada wanalipwa mabilioni na board ya mikopo?.mwaka wa kumi na kitu sasa toka chuo kianzishwe awana ata tawi kwenye mkoa wowote zaidi ya hiyo main campus ya Tanesco Morogoro! ukiwaambia ukweli watakuambia Mfumo Kristo,mtu ansomea Islamic Law hapa Tanzania alafu analalamika eti ajira akuna.
Wamezoea vya bure na kulalama Hawa vision Wala mission

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom