Nimeshangazwa kusikia Chuo cha MUM (Muslim University of Morogoro) hakina weekend, hii imekaaje?

Wana JF,

Vipi, samahani nimeshangazwa na utaratibu wa Chuo cha MUM Morogoro kwamba lectures zinaendelea Jumamosi na Jumapili, kiufupi hamna siku free.

Hii imekaa vipi kitaaluma?
Kwani tatizo nini kama wameona ndivyo wanavyopaswa kufanya kazi? Hapa kazi tu.
 
Muache kulalama watu wazima,eti mfumo kristo.Laleni hivyohivyo .
 
Rudi sekondari ukaendelee kufurahia maisha.
 
Nipo IFM na tuna test hadi jumamosi na jumapili...
Ila hatulalamiki tunakomaa wewe nani hadi ulalamike...?.
Shabhash[emoji34][emoji34] Hupendi kusoma acha chuo kauze nyanya[emoji534].
Ivi unatuchukuliaje sisi wauza nyanya unadhani hatujasoma? Kuwa na adabu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nyie mnagombania jmosi na j pili huku watu account zao zinaingia mabilioni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli tupo tofauti
 
Unashangaa MUM. sisi UDOM tulishapiga pepa siku ya pasaka Tena asubuhi saa 2. Na hakuna aliyelalamika.
Huo uhuni yaani chuo kizima kinashindwa pangilia ratiba mpaka mnapiga pepa pasaka....ama kweli waafrika ni manyani
 
Tatizo la Bakwata/TIF hawana vipaumbele na malengo mazuri ya uwekezaji. Wanakazania kujenga misikiti (imani inawatuma hivyo) kuliko kuboresha MUM au kujenga chuo kipya au hata hospitali. Wanatakiwa wabadilike la sivyo MUM kitakuwa gofu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…