OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Kwani cwt hawalipi michango?? Ukaguzi jukumu lao sio kuhakiki ubora wa mwalimu ila kuona kama yaliyopangwa kufanyika yametekelezwa.Ili ubora na uwezo wa mwalimu ujulikane lazima aundiwe chombo cha kupunguza pato lake dogo? Walimu wanavyombo vingi vinavyowamulika. Ukaguzi, cwt, tsc nk hiyo bodi ina lipi jipya zaidi ya kutafuta kumnyonya mwalimu fedha zake ???
Habari!
CWT = Chama cha Walimu Tanzania, Press yao imenishangaza sana eti hawaungi kuwepo kwa bodi ya kitaaluma ya Walimu (Teachers' professional board). Tena kwa madai kuwa walimu watabebeshwa mzigo mkubwa wa makato ya tsh.50000/= kwa mwaka yakihusisha lesseni ya ufundishaji, semina kwa walimu nk.
Wakidai kuwa walimu hawaitaki hiyo bodi sijui CWT wamefanya utafiti lini na halmashauri ngapi?
Hawa hawajui kama hii iitatuondolea walimu wasio na uwezo waliojazana mashuleni. Kwa kuwa update na mizigo kusitishiwa lesseni ili ualimu usiwe kazi ya walio feli mitihani.
Hivi CWTHilo ndo tatizo la walimu pekee nchi hii: Mbona malalamiko ya walimu ni mengi;
Wapo wanaolilia kupanda madaraja
Wapo wanaolilia kikokotoo hiki kipya
Wapo wanaolilia makato ya CWT na kuambulia t-shirt kila mwaka yasiyo na mantiki.
Wapo wanaolilia makato ya bodi ya mikopo nje ya mikataba yao.
AJABU:
Mama Salma Kikwete anachangia bungeni eti walimu hawaitaki hiyo bodi.
Pia Mh. Ndaisaba Mbunge wa ngara nae katumwa na walimu eti hawaitaki hiyo bodi mpya.
Tuwaulize hao walimu kwani wanaitaka hiyo CWT yenyewe? Inayonuka kila aina ya ufisadi.la tiket za Lesotho na misri. Benki nk ni shida tu.
Naunga mkono hiyo bodi iwapo kama fani nyinginezo.
CWT Msiogope hakuna kisicho na mwisho.
Sio mchawi tu bali mtesi wa daraja la juu. Anachochea ili walimu wazidi kunyanyasika. Huyo hana tofauti na Kibwetere !!!Waulize madaktari na wauguzi mateso wanayopata kwenye hizo bodi unazozililia,
Leseni laki na nusu, pepa laki na nusu, supp elfu 75,
Alafu unaambiwa utoe pesa ya mahafali ya leseni,
Yaani mkuu huwaonei huruma wenzako mimi nakufananisha na wachawi
Kwahiyo hiyo 50000 ni kubwa kuliko wanayochukua cwt.Sio mchawi tu bali mtesi wa daraja la juu. Anachochea ili walimu wazidi kunyanyasika. Huyo hana tofauti na Kibwetere !!!
Walio kithiriCWT ni genge la wezi
Mafala sana hao. Yaani wameshiba mpaka wamevimbiwa hela za walimu na hivyo hawataki wengine wale. Ukiwauliza ni kwa nini wanawakata walimu 2% kwenye mishahara yao, hawana majibu.CWT wanapigania ugali wao.
Walimu wengi ni grade A,huko kwenye bodi inakuaje?Habari!
CWT = Chama cha Walimu Tanzania, Press yao imenishangaza sana eti hawaungi kuwepo kwa bodi ya kitaaluma ya Walimu (Teachers' professional board). Tena kwa madai kuwa walimu watabebeshwa mzigo mkubwa wa makato ya tsh.50000/= kwa mwaka yakihusisha lesseni ya ufundishaji, semina kwa walimu nk.
Wakidai kuwa walimu hawaitaki hiyo bodi sijui CWT wamefanya utafiti lini na halmashauri ngapi?
Hawa hawajui kama hii iitatuondolea walimu wasio na uwezo waliojazana mashuleni. Kwa kuwa update na mizigo kusitishiwa lesseni ili ualimu usiwe kazi ya walio feli mitihani.
Hivi CWTHilo ndo tatizo la walimu pekee nchi hii: Mbona malalamiko ya walimu ni mengi;
Wapo wanaolilia kupanda madaraja
Wapo wanaolilia kikokotoo hiki kipya
Wapo wanaolilia makato ya CWT na kuambulia t-shirt kila mwaka yasiyo na mantiki.
Wapo wanaolilia makato ya bodi ya mikopo nje ya mikataba yao.
AJABU:
Mama Salma Kikwete anachangia bungeni eti walimu hawaitaki hiyo bodi.
Pia Mh. Ndaisaba Mbunge wa ngara nae katumwa na walimu eti hawaitaki hiyo bodi mpya.
Tuwaulize hao walimu kwani wanaitaka hiyo CWT yenyewe? Inayonuka kila aina ya ufisadi.la tiket za Lesotho na misri. Benki nk ni shida tu.
Naunga mkono hiyo bodi iwapo kama fani nyinginezo.
CWT Msiogope hakuna kisicho na mwisho.
Kuingia CWT iwe ni hiyari, kwa sabau hiyo ni ‘trade union’ tu ina dili na maslahi ya walimu na si na ualimu kama taaluma.Ili ubora na uwezo wa mwalimu ujulikane lazima aundiwe chombo cha kupunguza pato lake dogo? Walimu wanavyombo vingi vinavyowamulika. Ukaguzi, cwt, tsc nk hiyo bodi ina lipi jipya zaidi ya kutafuta kumnyonya mwalimu fedha zake ???
Kazi yoyote ili iwe Profession sifa mojawapo ni lazima iwe na board maalumu. Sasa CWT sio board; ni kitu kingine kinaangalia zaidi ‘maslahi ya mwalimu’ na si ‘ualimu wa mwalimu’. Ualimu kibongobongo ni kazi tu na wala si profession. Profession ina sifa zake: 1. Board of profession 2. Autonomy 3. Code of conduct etc. Tunahitaji 'Board of profession' sio 'trade union' kama hii CWT.Waulize madaktari na wauguzi mateso wanayopata kwenye hizo bodi unazozililia,
Leseni laki na nusu, pepa laki na nusu, supp elfu 75,
Alafu unaambiwa utoe pesa ya mahafali ya leseni,
Yaani mkuu huwaonei huruma wenzako mimi nakufananisha na wachawi