Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
nimetokea kuuchukia huu mkoa na sasa ndio naanza kuamini hili ndilo linalofanya mkoa wao kutoendelea mijinga sana yani inataka misafwa na minykysa myenzao ndio iwahudumie wakati kodi tuvnalipa sote
Mikoa ya njanda za juu kusini wabaguzi wa kupindukia!ukiona mahali mchaga ameshindwa kufanya biashara pakimbie
Umetoka kijijini unaleta ukabila hapa,wewe Mpaka karne hi hujui kuna kitu kinaitwa EMS, POSTA HUDUMA HI NI YA HARAKA HATA KAMA ZIMEBAKI SIKU 3 Deadline, ZINDUKA USHAFIKA MJINI Huduma hi ni sh 10500 tu barua yako itafika Wizarani fasta,na ndo tangazo linavosema tuma barua kwa katibu mkuu,ukiona hela kubwa shauri yako chuo utakosa na utabaki unalialia tu!huduma hi ipo posta zote Tanzaniadah!yan nimeishiwa nguvu kabisa na sijui nifanye nini maana tar10july ndio mwisho wa kuomba na hawa watu wa posta imani nao imenitoka kabisa yani toka nianze kutumia posta sijawah kufanikiwa nahisi barua hazifiki dg
Haya malalamiko hayana ukweli wowote inaonekana ni ya kutunga tu, Inaoneka matokeo yako si mazuri hata Ualimu huna uhakika wa kupata ndo sababu umepanic hata kabla ya kutuma maombi,dead lina tar 10 july zaid ya wiki mbili mbele unachanganyikiwa leo? ha ha ha una matatizo tena makubwa tu,kwanini usitume huko unakofikiri hawabagui?,au kwa nini usimtumie ndugu yako akupelekee mkoa unaoutaka wewe? Unapiga kelele kwamba Mkoa haundelei una uhakika na hilo au sababu umefeli basi hata data za mikoa inayoendelea kwa kasi Tz huijui?
WEWE KWELI UNAFIKILI KWA KUTUMIA NYAMA ZILIZO CHINI YA MGONGO,aliyemjibu vibaya una uhakika gani kama ni Msafwa au mnyakyusa,MADOGO WA SIKU HIZI NA DIVISION 5 ZENU HAMJIAMINI,utakuta kafika pale anatetemeka jasho mpaka kwenye mfereji wa Suez Ukome kusema misafwa na minyakyusa!!Shuleni hamsomi matokeo mabaya mnaanza kulaum makabila.nimetokea kuuchukia huu mkoa na sasa ndio naanza kuamini hili ndilo linalofanya mkoa wao kutoendelea mijinga sana yani inataka misafwa na minykysa myenzao ndio iwahudumie wakati kodi tuvnalipa sote
Nenda posta Ems kaulizie au kama posta hukufaham tukuelekeze?acha uzezeta unasema ni malalamiko ya kutunga kwani wewe ndio ulienda halmashauri?alafu hivi unamjua mtu aliyefeli wewe?tuache hayo hivi hata linalozungumzwa unalitambua kweli?tangazo la wizara linataka wanafunzi waliopata div 1,2 na 3 katika masomo ya sayansi,hisabati na kingereza sasa mimi ni mwehu mpaka niwe sina kati ya madaraja hayo alafu nijihangaishe kuomba?jiheshimu mkuu,huo muda ambao wewe unauona mwingi kwangu ni mchache sana,
Acha kulalamika, maana umeanza na halmashauri tena ukaja kwa posta, halafu unanishangaza barau kutoka mbeya leo tar 26 ishindwe kuwahi dar tar 10 july wanatumia pikipiki kutuma?dah!yan nimeishiwa nguvu kabisa na sijui nifanye nini maana tar10july ndio mwisho wa kuomba na hawa watu wa posta imani nao imenitoka kabisa yani toka nianze kutumia posta sijawah kufanikiwa nahisi barua hazifiki dg
acha uzezeta unasema ni malalamiko ya kutunga kwani wewe ndio ulienda halmashauri?alafu hivi unamjua mtu aliyefeli wewe?tuache hayo hivi hata linalozungumzwa unalitambua kweli?tangazo la wizara linataka wanafunzi waliopata div 1,2 na 3 katika masomo ya sayansi,hisabati na kingereza sasa mimi ni mwehu mpaka niwe sina kati ya madaraja hayo alafu nijihangaishe kuomba?jiheshimu mkuu,huo muda ambao wewe unauona mwingi kwangu ni mchache sana,
ha ha ha Umepanic dogo ndo sababu unaropoka hata usichokijua,Hii inaonyesha jinsi gani point zako ni za hovyo/au vyeti vyako vya kugushi ndo sababu unaogopa kutuma maombi dar, ungekuwa na sifa ungeshatuma siku nyingi,kuliko kupiga poroja hapa, ili Stori yako ya kutunga ikae vizuri jibu swali hili ulijuaje kwamba uliowakuta ofcn ni wasafwa na wanyakyusa?,
wewe kweli unafikili kwa kutumia nyama zilizo chini ya mgongo,aliyemjibu vibaya una uhakika gani kama ni msafwa au mnyakyusa,madogo wa siku hizi na division 5 zenu hamjiamini,utakuta kafika pale anatetemeka jasho mpaka kwenye mfereji wa suez ukome kusema misafwa na minyakyusa!!shuleni hamsomi matokeo mabaya mnaanza kulaum makabila.
Ukishakashifu kabila la mtu ni vigum kupita tuuu lazima ueleweshwe maana ndo nyie wasomi ambao hamjui athari za kutuhumiana kimakabila Tatizo shule za kata mnazosoma mnawaza ukabila tu.TULINDE AMAN YA NCHI YETU Mwl Nyerere alifuta ukabila.(TUSI KALI)..kama huna la kuchangia ni bora ukapita kimya hata ukisoma tu comment za wengine pia ni aina ya ushiriki
Unawashwa na hiyo Division 5 yako ya 49!chunga hayo marinda yako yatapasuliwa yai!GUVINDO Gwa winyu!ONDOA UKABILA WAKOndio tatizo la misafwa,nguvu pipa akili kisoda