Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
Mbeyacity hawana ubaguzi,dogo langu katoka ofisi ya afisa elimu wa jiji,kahudumiwa safi sana! Amekaribshwa mpaka chai- KARIBUNI NYANDA ZA JUU KUSINI KWA UWEKEZAJI,kwani ni mikoa inayokua kwa kasi kubwa.