Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
Wakuu aisee hawa wanawake wa siku hizi hata aibu hawaoni? Yaani mwanamke from nowhere anaanza kuniomba sex kabisa yaani nimeshangazwa sana aisee yaani bila aibu wala soni mwanamke ananiomba ngono halafu eti ananiaomba yeye ni bikra hajawahi kufanya ngono eti
Eti bikra kabisa eti aisee hajawahi kufanya ngono na wala hawajahi kuexperience haya Mambo ndiyo aniombe sex? Yaani yeye muda mwingi story zake ni sex,sex,sex mpaka kero aisee.Wanawake wa siku hizi kuweni na aibu basi sisi tulizoea mwanaume ndiyo amuombe sex mwanamke kwasasa ni kinyume chake shame on you
Kwasasa sitaki kushiriki ngono mpaka nioe na sihitaji kuikaribia zinaa mpaka nihakikishe nipo kwenye ndoa full stop sasa yeye baada ya Kuambiwa hivyo anasema alikuwa ananitania tu eti hamaanishi aisee!