Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
Acha kujitekenya na kucheka. Eti wanawake wa siku hizi. Na mama yako yumo?Wakuu aisee hawa wanawake wa siku hizi hata aibu hawaoni? Yaani mwanamke from nowhere anaanza kuniomba sex kabisa yaani nimeshangazwa sana aisee yaani bila aibu wala soni mwanamke ananiomba ngono halafu eti ananiaomba yeye ni bikra hajawahi kufanya ngono eti
Eti bikra kabisa eti aisee hajawahi kufanya ngono na wala hawajahi kuexperience haya Mambo ndiyo aniombe sex? Yaani yeye muda mwingi story zake ni sex,sex,sex mpaka kero aisee.Wanawake wa siku hizi kuweni na aibu basi sisi tulizoea mwanaume ndiyo amuombe sex mwanamke kwasasa ni kinyume chake shame on you
Kwasasa sitaki kushiriki ngono mpaka nioe na sihitaji kuikaribia zinaa mpaka nihakikishe nipo kwenye ndoa full stop sasa yeye baada ya Kuambiwa hivyo anasema alikuwa ananitania tu eti hamaanishi aisee!
Cha ajabu nini? wanawake huwa tuna hamu ya sex pia, acha kushangaa kijinga jinga!!Wakuu aisee hawa wanawake wa siku hizi hata aibu hawaoni? Yaani mwanamke from nowhere anaanza kuniomba sex kabisa yaani nimeshangazwa sana aisee yaani bila aibu wala soni mwanamke ananiomba ngono halafu eti ananiaomba yeye ni bikra hajawahi kufanya ngono eti
Eti bikra kabisa eti aisee hajawahi kufanya ngono na wala hawajahi kuexperience haya Mambo ndiyo aniombe sex? Yaani yeye muda mwingi story zake ni sex,sex,sex mpaka kero aisee.Wanawake wa siku hizi kuweni na aibu basi sisi tulizoea mwanaume ndiyo amuombe sex mwanamke kwasasa ni kinyume chake shame on you
Kwasasa sitaki kushiriki ngono mpaka nioe na sihitaji kuikaribia zinaa mpaka nihakikishe nipo kwenye ndoa full stop sasa yeye baada ya Kuambiwa hivyo anasema alikuwa ananitania tu eti hamaanishi aisee!
Una miaka mingapi?, Je ulishawahi kupata ajali yeyote iliyopelekea kuuumia sehemu za kichwaWakuu aisee hawa wanawake wa siku hizi hata aibu hawaoni? Yaani mwanamke from nowhere anaanza kuniomba sex kabisa yaani nimeshangazwa sana aisee yaani bila aibu wala soni mwanamke ananiomba ngono halafu eti ananiaomba yeye ni bikra hajawahi kufanya ngono eti
Eti bikra kabisa eti aisee hajawahi kufanya ngono na wala hawajahi kuexperience haya Mambo ndiyo aniombe sex? Yaani yeye muda mwingi story zake ni sex,sex,sex mpaka kero aisee.Wanawake wa siku hizi kuweni na aibu basi sisi tulizoea mwanaume ndiyo amuombe sex mwanamke kwasasa ni kinyume chake shame on you
Kwasasa sitaki kushiriki ngono mpaka nioe na sihitaji kuikaribia zinaa mpaka nihakikishe nipo kwenye ndoa full stop sasa yeye baada ya Kuambiwa hivyo anasema alikuwa ananitania tu eti hamaanishi aisee!
Shangaa na wewe! Namhurumia huyo dada kudeti na last born!Kweli penye miti hapana wajenzi!.
umeshawaomba nyamnyam wangapi..?Kawaida sana...
Ikimbie zinaa.Kwasasa sitaki kushiriki ngono mpaka nioe na sihitaji kuikaribia zinaa mpaka nihakikishe nipo kwenye ndoa full stop