Nimeshangazwa na mwanamke kuniomba sex

Pole ila nature itakushtaki.
Hutachukua muda mrefu bila kumla.
Labda kama wewe sio mwanaume kamili.
Hii kesi aliiweza Yusufu tu.
Japo hatujui yaliyotokea baada ya yeye kuwa waziri mkuu
 
Kwani yeye mwanamke hana hisia, wewe mbona ukiwa nazo unaomba!?

Ndio maana kuna namna vijana wa siku hizi under 30, mnateseka sana na mapenzi, Sasa kwa uzi huu hata ukiomba wewe kwanza atakunyima
 
Siwezi
Pole ila nature itakushtaki.
Hutachukua muda mrefu bila kumla.
Labda kama wewe sio mwanaume kamili.
Hii kesi aliiweza Yusufu tu.
Japo hatujui yaliyotokea baada ya yeye kuwa waziri mkuu
mimi ni mfuasi wa Nabii yusuph,kwahiyo mwanaume kamili ni yule anayegonga gonga wanawake? Ndiyo ujanja huo?
 
We ni m
Kwani yeye mwanamke hana hisia, wewe mbona ukiwa nazo unaomba!?

Ndio maana kuna namna vijana wa siku hizi under 30, mnateseka sana na mapenzi, Sasa kwa uzi huu hata ukiomba wewe kwanza atakunyima
pumbavu wapi nimekuambia nateseka na mapenzi hapo? Ningekuwa nateseka na mapenzi ningekuwa namuomba ngono
 
We ni m
pumbavu wapi nimekuambia nateseka na mapenzi hapo? Ningekuwa nateseka na mapenzi ningekuwa namuomba ngono
Kutukana na kupanick sehemu ambayo ujatukanwa, ni dalili nyingine ya kuwa bado hujakuwa na una shida ya uwezo wa kifikiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…