Nimeshangazwa na Sms za mpenzi wangu ambae nilitegemea awe mke wangu. Inavyoonekana atakuwa anajihusisha na madawa ya kulevya

Upo sahihi kabisa , anaweza asiwe anajihusihsa .moja kwa moja ila ni dhahiri hiyo michezo anaijua ndani nje !
Watu wa madawa wanajiamini sana ila na siku hizi kesi za madawa sio rahisi pia .
 
Sasa kumuhudumia dada yake ndio kosa?

We ulitakaje kwani.

Kwann unam link nae na matumizi?

Kwahiyo wewe ndugu yako akipata majanga regardless unamuacha afie mbele huko sio?

Kwanza unakaaje na mtu miaka 4 unaita uchumba
 
Jiandae kulisaidia jeshi la polisi na kikosi cha udhibiti madawa ya kulevya...
Kashamchoma dada wa watu.sikuona haja ya kuleta hizi mambo huku.wanaume tumeumbwa na vifua.watu wapo sehem nyeti na bado wanapiga mishe za ajabu ...kama ungempenda ungemuruhusu afike kwako na ukae naye uongee naye madhara yake na ww vile unavyojisikia vibaya anavyofanya hizo mishe..mapenzi yananguvu taratibu angebadilika
 
Madhara ya madawa ya kulevya ni makubwa sana, acheni kutetea ujinga
 
Umefanya mambo yazidi kua magumu,polisi wa Dodoma wamo humu,inamaana watamtafuta huyo dada aliyekutumia meseji,wakamshikilie.Umefanya ujinga sana.Usidhani Kila kitu ni cha kupost.Subiri afuatwe,nawewe ukamatwe kuwasaidia polisi.Andaa hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…