Nimeshangazwa na Sms za mpenzi wangu ambae nilitegemea awe mke wangu. Inavyoonekana atakuwa anajihusisha na madawa ya kulevya

Nimeshangazwa na Sms za mpenzi wangu ambae nilitegemea awe mke wangu. Inavyoonekana atakuwa anajihusisha na madawa ya kulevya

Mtu ambae niko nae kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka 4, nikiwa na mipango ya kuoana nae. Leo nimejikuta nashindwa kumuelewa, Hapa chini ni baadhi ya text nilizochati nae kabla ya kumpigia simu kujiridhisha ni yeye kweliView attachment 2676117
Tukaendelea
View attachment 2676118
View attachment 2676120
View attachment 2676120
View attachment 2676122
Baada ya hizi text nikaona isiwe tabu nikampigia simu, the way alivokuwa anajibu maswali niliyokuwa namuuliza, naona kabisa huyu bubie yupo kwenye huu mtandao wa madawa, nimeamua kuachana nae.

Kitu kilichonishangaza anaongea kwa kujiamini sana, kwamba mama yake kakamatwa na mzigo mambo yote yashawekwa sawa anatoka, Ina maana serikali imekuwa laini kiasi hiki? Binafsi namuomba mungu kaamua kuyaweka haya mambo wazi mapema, Angeweza hata kuniletea shida wakati sijui lolote kuhusu haya mambo.
Upo sahihi kabisa , anaweza asiwe anajihusihsa .moja kwa moja ila ni dhahiri hiyo michezo anaijua ndani nje !
Watu wa madawa wanajiamini sana ila na siku hizi kesi za madawa sio rahisi pia .
 
Jiandae kulisaidia jeshi la polisi na kikosi cha udhibiti madawa ya kulevya...
Kashamchoma dada wa watu.sikuona haja ya kuleta hizi mambo huku.wanaume tumeumbwa na vifua.watu wapo sehem nyeti na bado wanapiga mishe za ajabu ...kama ungempenda ungemuruhusu afike kwako na ukae naye uongee naye madhara yake na ww vile unavyojisikia vibaya anavyofanya hizo mishe..mapenzi yananguvu taratibu angebadilika
 
Madhara ya madawa ya kulevya ni makubwa sana, acheni kutetea ujinga
 
Umefanya mambo yazidi kua magumu,polisi wa Dodoma wamo humu,inamaana watamtafuta huyo dada aliyekutumia meseji,wakamshikilie.Umefanya ujinga sana.Usidhani Kila kitu ni cha kupost.Subiri afuatwe,nawewe ukamatwe kuwasaidia polisi.Andaa hela.
 
Back
Top Bottom