Nimeshangazwa na Sms za mpenzi wangu ambae nilitegemea awe mke wangu. Inavyoonekana atakuwa anajihusisha na madawa ya kulevya

😃😃😃😂😂😂🙌
 

Huyo sio mpenzi wako….ni demu muuza K…ndio wanapenda zana kutumia hiyo story kukupiga mzinga uchangie hela ya kumtoa huyo mama yake….ili ujue ni muongo ungemuuliza yupo kituo gani uende atakataa kabisa usiende!
 
Kwa hiyo unataka kumuacha mpenzi wako eti kiss Ni drug dealer? Acha masihara bana
 
Ila uhu ni upumbavu wewe mwanaume kama unanpenda kweli unashindwa kumtoa uko basi ulikuwa umpendi ulikuwa na tamaa zako mwanaume sifa yake kuu ni msimamo
Wanaume miaka hii ni wachache wa kubeba huo uanaume kumsaidia mwanamke and vice versa
 
Kasema anamuogopa. Jamaa mtoto wa mama light skin
 
Hizo drugs ni zipi?usikute aliyepolisi Kakamatwa tu na ndumu,lingine mkuu usiwe una jump to conclusions kirahisi hivyo,inawezekana manzi yupo Dom anauza nyapu😁.Chunguza mambo Kwa kina usikurupuke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…