Nimeshangazwa na Sms za mpenzi wangu ambae nilitegemea awe mke wangu. Inavyoonekana atakuwa anajihusisha na madawa ya kulevya

Nimeshangazwa na Sms za mpenzi wangu ambae nilitegemea awe mke wangu. Inavyoonekana atakuwa anajihusisha na madawa ya kulevya

Asante sana mleta mada nimechukua hayo mawasialiano yako kwa ajili ya uchunguzi zaidi,kama kuna lolote tuaonana.
Asante

Kwa kifupi mleta mda anaonekana mwanaume chini ya miaka 30
Mwanamke inaonekana pia ni chini ya miaka 25,hajaolewa,hana kazi ya maana either ni mdangaji au anakaa kwa ndugu.
Jina la Angle ni kweli ni jina halisi la mwanamke
Mleta mada yupo sehemu ya mjini mana mtandao unasoma 4G tena Tigo.
Mleta mada ni kijana mwenye kipato kidogo mana anatumia simu ya infinix.
Hii conversation ni ya leo picha zinajieleza.
Polisi tunaanzia hapo.
😃😃😃😂😂😂🙌
 
Mtu ambae niko nae kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka 4, nikiwa na mipango ya kuoana nae. Leo nimejikuta nashindwa kumuelewa, Hapa chini ni baadhi ya text nilizochati nae kabla ya kumpigia simu kujiridhisha ni yeye kweliView attachment 2676117
Tukaendelea
View attachment 2676118
View attachment 2676120
View attachment 2676120
View attachment 2676122
Baada ya hizi text nikaona isiwe tabu nikampigia simu, the way alivokuwa anajibu maswali niliyokuwa namuuliza, naona kabisa huyu bubie yupo kwenye huu mtandao wa madawa, nimeamua kuachana nae.

Kitu kilichonishangaza anaongea kwa kujiamini sana, kwamba mama yake kakamatwa na mzigo mambo yote yashawekwa sawa anatoka, Ina maana serikali imekuwa laini kiasi hiki? Binafsi namuomba mungu kaamua kuyaweka haya mambo wazi mapema, Angeweza hata kuniletea shida wakati sijui lolote kuhusu haya mambo.

Huyo sio mpenzi wako….ni demu muuza K…ndio wanapenda zana kutumia hiyo story kukupiga mzinga uchangie hela ya kumtoa huyo mama yake….ili ujue ni muongo ungemuuliza yupo kituo gani uende atakataa kabisa usiende!
 
Ila uhu ni upumbavu wewe mwanaume kama unanpenda kweli unashindwa kumtoa uko basi ulikuwa umpendi ulikuwa na tamaa zako mwanaume sifa yake kuu ni msimamo
Wanaume miaka hii ni wachache wa kubeba huo uanaume kumsaidia mwanamke and vice versa
 
Kashamchoma dada wa watu.sikuona haja ya kuleta hizi mambo huku.wanaume tumeumbwa na vifua.watu wapo sehem nyeti na bado wanapiga mishe za ajabu ...kama ungempenda ungemuruhusu afike kwako na ukae naye uongee naye madhara yake na ww vile unavyojisikia vibaya anavyofanya hizo mishe..mapenzi yananguvu taratibu angebadilika
Kasema anamuogopa. Jamaa mtoto wa mama light skin
 
Hizo drugs ni zipi?usikute aliyepolisi Kakamatwa tu na ndumu,lingine mkuu usiwe una jump to conclusions kirahisi hivyo,inawezekana manzi yupo Dom anauza nyapu😁.Chunguza mambo Kwa kina usikurupuke.
 
Back
Top Bottom