Nimeshangazwa na Sms za mpenzi wangu ambae nilitegemea awe mke wangu. Inavyoonekana atakuwa anajihusisha na madawa ya kulevya

Nimeshangazwa na Sms za mpenzi wangu ambae nilitegemea awe mke wangu. Inavyoonekana atakuwa anajihusisha na madawa ya kulevya

Umefanya mambo yazidi kua magumu,polisi wa Dodoma wamo humu,inamaana watamtafuta huyo dada aliyekutumia meseji,wakamshikilie.Umefanya ujinga sana.Usidhani Kila kitu ni cha kupost.Subiri afuatwe,nawewe ukamatwe kuwasaidia polisi.Andaa hela.
na kaweka jina ni angel,wanampata kirahisi tuu
 
Sasa kumuhudumia dada yake ndio kosa?

We ulitakaje kwani.

Kwann unam link nae na matumizi?

Kwahiyo wewe ndugu yako akipata majanga regardless unamuacha afie mbele huko sio?

Kwanza unakaaje na mtu miaka 4 unaita uchumba
Mimi ninamuacha avune alichopanda kwani hiyo ni mipango na siyo dharula/dhalura/dharura/dhalula.
 
Wewe ndo huyo Angel naona
Mwanaume gani unashindwa kulinda siri
 
Wapelelezi wanakusanya ushahidi zaidi hapa.
 
Sasa umeshafanya maamuzi, umeamua kuleta hapa kwa ajili gani?
 
Wewe ni fala tena bwege mmoja...kama mtu kashikwa uko dom na syndicate inataka kumtoa huoni unawapa wakati mgumu both sides...na moja kwa moja hata wewe unajulikana....huo ujinga wako uta ku cost
 
Mtu ambae niko nae kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka 4, nikiwa na mipango ya kuoana nae. Leo nimejikuta nashindwa kumuelewa, Hapa chini ni baadhi ya text nilizochati nae kabla ya kumpigia simu kujiridhisha ni yeye kweliView attachment 2676117
Tukaendelea
View attachment 2676118
View attachment 2676120
View attachment 2676120
View attachment 2676122
Baada ya hizi text nikaona isiwe tabu nikampigia simu, the way alivokuwa anajibu maswali niliyokuwa namuuliza, naona kabisa huyu bubie yupo kwenye huu mtandao wa madawa, nimeamua kuachana nae.

Kitu kilichonishangaza anaongea kwa kujiamini sana, kwamba mama yake kakamatwa na mzigo mambo yote yashawekwa sawa anatoka, Ina maana serikali imekuwa laini kiasi hiki? Binafsi namuomba mungu kaamua kuyaweka haya mambo wazi mapema, Angeweza hata kuniletea shida wakati sijui lolote kuhusu haya mambo.
Then anakuja kulala kwako akamatiwe geto lako utaozea jela😅😅
 
Hela nilizo nazo zinanitosha mkuu, sihitaji madili haramu ili nipate pesa za misukosuko
Mbona hutumi namba yake. Mie sijasema kuwa huna hela mkuu. Ila nimesema Aina ya hiyo wanawake ndio niwatakao. Ninaomba namba yake pm anaweza akawa hata business partner
 
Atamtoa aliyemuingiza huko, huo upumbavu Mimi sitaki. Familia imenisomesha ikiwa na malengo na mimi na bado inanitegemea huo ujinga atamalizana nao kama alivyoanza nao
Tena utahadhari kwa mbali kabisa. Kuna siku isiyo na jina unaweza kupita msako wakati yeye yuko kwako na wewe ukasombwa mzima mzima. Na hapo hakuna mjadala na wewe unajumuiishwa.

Kimbia mbali sana kijana.
 
Hii ndio zile Chai na Makande
Yaani mnandikiana text ndefu kama hiyo na mda haubadiliki? saa moja na dakika nane 1:08 kwenye texti zote au...

....hata ikiwa ni skrini shoti mda ungebadilika kha!

Hii chai imezidi makande😁😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mi grugz mingine😅😌
 
Una Utovu wa nidhamu Broo kipi kikushangazacho na kushtukashtuka kaza mtoto wa kiume wewe!!Kama unaona hilo ni tatizo kwake,,,Nipasie namba zake nione namna ya kumfariji kwenye hayo mapito,,kama hutojali lakini!!!
 
Mabadiliko ya tabia ya nchi yanaenda sambamba na mabadiliko ya viumbe hai, wanaume siku hizi ndio mmekuwa waoga na msio na kifua Cha kutunza mambo,wanawake wamekuwa na roho ngumu Sasa.
 
Nipe no yake nicheze nae hayo madili, niko serious asee.
 
Back
Top Bottom