Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Jamaa Terence Crawford ni bondia bora zaidi kwa kipindi hiki akiwa na mafanikio tele kwenye mchezo wa boxing na ni bondia anayetazamwa sana kwa kifupi ni bondia mwenye heshima tele kwenye mchezo wa boxing hivyo ana nguvu kubwa sana ya ushawishi.
Jamaa yupo peace sana kwanza alileta taarifa ya kuja nchini wiki tatu kabla na pia alipokuja amekuwa akipost post sana mambo mazuri mazuri sana yanayopatikana TZ tofautisha na yule mstaafu Rio Ferdinand ambaye hata kupost tu ilikuwa kama analazimishwa.
Rio alipewa heshima kubwa sana sana na viongozi wa nchi ila kwa upande wa Terence Crawford ni kama ujio wake ni nothing tu kwamba hauna manufaa yoyote yale kwenye michezo.
Mwamba amemaliza muda wake hapa nchini huyoo amesepa zake.