Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Mbona una uliza swali halafu unajijibu.Kuna wehu hapa watakuja kutetea kwamba ziara yake hakualikwa na serikali bali alikuja kwa mualiko wa mafia boxing.
Hata kama mtu mashuhuri kaja kwa ziara binafsi lazima utakuta wanamuonesha ushirikiano vizuri.Mbona una uliza swali halafu unajijibu.
Labda wameona ni mchezaji wa mchezo wa kuumizana na kugombana bila sababu Tena wengine hata hawajuani!Jamaa Terence Crawford ni bondia bora zaidi kwa kipindi hiki akiwa na mafanikio tele kwenye mchezo wa boxing na ni bondia anayetazamwa sana kwa kifupi ni bondia mwenye heshima tele kwenye mchezo wa boxing hivyo ana nguvu kubwa sana ya ushawishi.
Jamaa yupo peace sana kwanza alileta taarifa ya kuja nchini wiki tatu kabla na pia alipokuja amekuwa akipost post sana mambo mazuri mazuri sana yanayopatikana TZ tofautisha na yule mstaafu Rio Ferdinand ambaye hata kupost tu ilikuwa kama analazimishwa.
Rio alipewa heshima kubwa sana sana na viongozi wa nchi ila kwa upande wa Terence Crawford ni kama ujio wake ni nothing tu kwamba hauna manufaa yoyote yale kwenye michezo.
Mwamba amemaliza muda wake hapa nchini huyoo amesepa zake.
Crawford ni mkubwa kuliko Ferdinand na pia sio mtu wa kuvimba vimba , ametangaza vyema vivutio vya nchi mbuga alizotembelea na sehemu nyinginezo za vivutio, hivyo sasa huyu ndiye alistahili mualiko na ikiwezekana kupewa ubalozi na sio Ferdinand.Labda wameona ni mchezaji wa mchezo wa kuumizana na kugombana bila sababu Tena wengine hata hawajuani!
Una stress za vikoba?Terrence ndio bwana yako au? Mbona unaumia sana kama punga
Mipango mibovu ya waandaji!Crawford ni mkubwa kuliko Ferdinand na pia sio mtu wa kuvimba vimba , ametangaza vyema vivutio vya nchi mbuga alizotembelea na sehemu nyinginezo za vivutio, hivyo sasa huyu ndiye alistahili mualiko na ikiwezekana kupewa ubalozi na sio Ferdinand.
gentleman,Jamaa Terence Crawford ni bondia bora zaidi kwa kipindi hiki akiwa na mafanikio tele kwenye mchezo wa boxing na ni bondia anayetazamwa sana kwa kifupi ni bondia mwenye heshima tele kwenye mchezo wa boxing hivyo ana nguvu kubwa sana ya ushawishi.
Jamaa yupo peace sana kwanza alileta taarifa ya kuja nchini wiki tatu kabla na pia alipokuja amekuwa akipost post sana mambo mazuri mazuri sana yanayopatikana TZ tofautisha na yule mstaafu Rio Ferdinand ambaye hata kupost tu ilikuwa kama analazimishwa.
Rio alipewa heshima kubwa sana sana na viongozi wa nchi ila kwa upande wa Terence Crawford ni kama ujio wake ni nothing tu kwamba hauna manufaa yoyote yale kwenye michezo.
Mwamba amemaliza muda wake hapa nchini huyoo amesepa zake.
Nadhani Rio aligundua kwamba serikali ya Tanzania ilimuingiza Cha kike, hakutegemea Yale yaliyokuwa yakiendeleaJamaa Terence Crawford ni bondia bora zaidi kwa kipindi hiki akiwa na mafanikio tele kwenye mchezo wa boxing na ni bondia anayetazamwa sana kwa kifupi ni bondia mwenye heshima tele kwenye mchezo wa boxing hivyo ana nguvu kubwa sana ya ushawishi.
Jamaa yupo peace sana kwanza alileta taarifa ya kuja nchini wiki tatu kabla na pia alipokuja amekuwa akipost post sana mambo mazuri mazuri sana yanayopatikana TZ tofautisha na yule mstaafu Rio Ferdinand ambaye hata kupost tu ilikuwa kama analazimishwa.
Rio alipewa heshima kubwa sana sana na viongozi wa nchi ila kwa upande wa Terence Crawford ni kama ujio wake ni nothing tu kwamba hauna manufaa yoyote yale kwenye michezo.
Mwamba amemaliza muda wake hapa nchini huyoo amesepa zake.
AlijutaNadhani Rio aligundua kwamba serikali ya Tanzania ilimuingiza Cha kike, hakutegemea Yale yaliyokuwa yakiendelea
Sana yani.Nichi ya hovyo hii
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Inawezekana Zungu alishawapiga biti wabunge wake kuwa Wampe Sapoti na vibe la kutisha mla unga mwenzie tu.
Ngoja tuone mwisho wakeSana yani.
ChaiKuna wehu hapa watakuja kutetea kwamba ziara yake hakualikwa na serikali bali alikuja kwa mualiko wa mafia boxing.